FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

jackline1 wanachokifanya Laliga ni sawa kwa sababu wanatetea team zao za Spain soma hapa chini utanielea
1.Hadi sasa hivi hamna official negotiation ya contract ya Neymar kati ya Barca na PSG (imagine Neymar alivyotudharau supporters wake au sijui kama tumemfanyia kitu gani kibaya)

2. Neymar £222M ameingiziwa kwenye account yake na mwanasheria wake pamoja na kodi jumla ya £300 ili avunje contract yake na Barca aende kama free player PSG (hii maana yake PSG hawafungamani na Barca katika terms za makubaliano kwa aina yoyote ile hata zile options zakuwaingiza some playerz in exchange tupunguze demage walizofanya PSG hamna )

3.Laliga lengo lao PSG na Barca ndio wa negotiate i.e wakae meza moja -hii ina maana kubwa sana ndio maana hadi sasa hivi wanasema hawajui hela zimetoka wapi

Kumbuka duniani kuna changamoto za vilabu ambavyo vinapewa support na state na suala la money laundering
In short hela ya Neymar imetoka serikali ya Qatar, PSG kwenye financial statements zao hawana huo msuli
Barca tunaharibu,we are bigger then this-just let him go-Sisi Barca ktk ku pursue players before tumecheza foul nyingi sana.
Huyo Angel maria,whatever his name is,ni sub standard sio Barca type-consistence yake ni suspect-it aint wise kumleta mchezaji,fans wamgeuke na kumzomea
 
Tatizo sio Barca tatizo ni LPF (laliga) wana protect clubs zao and they are there to serve the public interest
Sisi Neymar alikuja akasema anataka kuondoka thats all akaambiwa alipe Buyout clause tufanye yetu ,moment anamaliza kulipa is no longer our player- termination of contract by one party
 
Nyie watu wa hispania mnamng'ang' ania neymar ili iweje ?? Tushaweka pesa mezani mnaanza kuleta za kuleta ? Mnataka mbembelezwe kama mama mjamzito

What goes around always comes around
 
Don't be fools if neymar were a galactoco's fan then he would agree to the offer which was given to him from madrid back then, but everyone close to him including his father admitted that the kid had passion for the bulgrana based giants and what's more to play alongside a little magician something he did for of course and now you have some nerve to say he preferred Madrid to Barcelona since time in memorial?,don't cheat us around coz its better to keep shut!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jackline1 wanachokifanya Laliga ni sawa kwa sababu wanatetea team zao za Spain soma hapa chini utanielea
1.Hadi sasa hivi hamna official negotiation ya contract ya Neymar kati ya Barca na PSG (imagine Neymar alivyotudharau supporters wake au sijui kama tumemfanyia kitu gani kibaya)

2. Neymar £222M ameingiziwa kwenye account yake na mwanasheria wake pamoja na kodi jumla ya £300 ili avunje contract yake na Barca aende kama free player PSG (hii maana yake PSG hawafungamani na Barca katika terms za makubaliano kwa aina yoyote ile hata zile options zakuwaingiza some playerz in exchange tupunguze demage walizofanya PSG hamna )

3.Laliga lengo lao PSG na Barca ndio wa negotiate i.e wakae meza moja -hii ina maana kubwa sana ndio maana hadi sasa hivi wanasema hawajui hela zimetoka wapi

Kumbuka duniani kuna changamoto za vilabu ambavyo vinapewa support na state na suala la money laundering
In short hela ya Neymar imetoka serikali ya Qatar, PSG kwenye financial statements zao hawana huo msuli
At last umenielewesha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza jamani, Laliga kukataa kuchukua ile pesa kunazui vipi kuondoka kwa Neymar maana yeye anadai anavunja mkataba wake na fc.barc? Au inamaana laliga wanaweza kumzuia mchezaji hasivunje mkataba wake na timu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ya kuvunja mkataba anatoa wapi kama sio kutofuata taratibu na sheria za LLFP UEFA NA FIFA haiwezekani mchezaji ghafla anaamua kuvunja mkataba tena wa pesa ndefu kuliko Hata itajiri wake. There must be PSG hands behind obviously it is Lakini tujue wazungu sio punguqni ndo maana wenzetu soccer ni moja wapi ya institutions kubwa zinazofuata katiba na sheria so hamna kufanyana mafools na kubehave as you wish lqzima kanuni zifuatwe na if so hopefully zitafuatwa neymar ain't going anywhere atake asitake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neymar hawezi kuwa mchezaji bora duniani kama yupo team moja na Messi
Hata awe nje ya barca still in the presence of messi and ronaldo neymar hawezi kuwa mchezaji bora. Going out of barca does not mean that you're running away from messi in fact it's a lot more hard for you when you try to compete messi when you are not ronaldo. So I think huyu jamaa anatafuta club anayoweza kuandika rekolodi zake na akaabudiwa and of course not at camp nou ( new field ) labda at PARC des princes ambapo ataweza vunja record za watu not at SANTIAGO BERNABEU or NEW FIELD. Of course Kama zlatan aliabudiwa basi yeye itakuwa a lot more.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uongozi ndio umechemka ndio maana Neymar anawapelekesha mpaka sasa,waliweka release € 220m wakidhani hakuna timu inayoweza toa hiyo hela .Release clause ya CR7 ni €1bilion while wao wameweka release clause ya Messi €300m
Qcha uongo una uhakika au unauafiata maneno ya perez acha ushabiki plastic brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GOOD NEWS-Barca amechukua hela ya Neymar-that chapter is now closed
mahela hayooooo tuna drop big name before jmos Camp Nou watam present siku ya 13/08 Spanish Cup match na Real Madrid halafu kabla mwezi haujaisha another big name tena tunali introduce

[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]
 
ni katika harakat za kutafuta maisha tu sioni cha ajabu kwa neymar kuondoka maana ni kama umeachana na mpenzi wako haina maana ya kuanza kumkashifu....
barca ni kubwa kuliko yeye so tusijawe na hasira na kumchukia dogo

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Yeah Ngoja Dogo (Neymar) akale Maisha. Maana Deal ya miaka 5 kwa malipo ya £450million (Tsh billion990) kwa jumla ukijumlisha mshahara na bonasi si mchezo:-

Mshahara wake upo hivi

[emoji383] Kwa mwaka: £30,992,000(Tsh billion 68)
[emoji383] kwa mwezi: £2,384,000(Tsh billion 5.1)
[emoji383] kwa wiki: £596,000 (Tsh Billion 1.3)
[emoji383] kwa siku £85,142
[emoji383] kwa saa: £3,547 (Tsh 7,800,000)

Ni shidaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its now officials Neymer siyo mchezaji wetu tena hakuna haja ya kujaza thread kumjadili, chamsingi ni kufocus mbele na kujenga team yetu hatuna haja ya kutokwa povu kwa kureact kwa dhihaka toka kwa wapinzani wetu cha msingi ni kukubali matokeo kuondoka kwa Neymer siyo mwisho wa fc barcelona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barca wanaweweseka,walipokuwa wanawataka kina fabregas,Henry now Courtinho walijiita Barca is more than a club,na haya maujinga ya kuweka release clause uangaliaji wangu wa Mpira zaidi ya miongo miwili nimekuwa nausikia sana kwenye mikataba ya kijinga ya Spain hasa Barca na Madrid na wamekuwa wakifanya hivyo kwa kuwatisha vilabu vingine,sasa this time wameingia choo cha kike wamekutana na bomba LA mafuta kama LA Hoima jamaa wanatoa pesa tu sasa barca wamedata.

Wanajaribu kutumia uhusiano wao wa kibaguzi wa waspain FA, ilihali uefa imesema FA haiwezi zuia kwasababu barca hawaja toa malalamiko rasmi.

Pia PSG wametumia umafia sio wa dunia hii kumbeba Neymar.

Na wamewakomesha sasa barca imekuwa timu ya kulia lia na sio tena waliokuwa wanajiita Mo than a club kwani kuna Dollar sign imewanyong'onyesha.
Ligi kama inachukua mastaa tu release clauses siyo kitu cha kushangaa. Mastaa wenyewe ndiyo hutaka. Huko mchangani release clauses za nini?
 
Qcha uongo una uhakika au unauafiata maneno ya perez acha ushabiki plastic brother

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui bora ukae kimya
tapatalk_1501784424500.png
 
Juventus yamuweka sokono Dybala

MUUNGWANA BLOG / 36 minutes ago...

Bei ya Paulo Dybala wa Juventus ni euro milioni 140.

Juventus ya Italia imeiambia Barcelona, kama inamtaka mshambulizi huyo kwa kuwa Neymar anaondoka, iweke fungu hilo mezani.

Barcelona inaonekana imepania kumpata Dyabala na mambo yakishindikana chaguo la pili ni Coutinho wa Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom