FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Stil kwetu ni brief kama pesa ya Neymer ikileta wachezaji 2 ambao ni classic so i trust team yetu itafanya vzr sana pasipo matatizo maana barcelona inajengwa na team work na cyo indivudualism

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dembele keshakubaliana personal terms na barcelona, dotmond wanata £ milioni 90, pia barcelona wapo mbion kutoa offer ya £ milioni 108 kwa ajili ya kumnyakua cottinho nadhan hizi deals zikikamilika tutakua tumepata wachezaji 2 ambao world class kwa kumuuza Neymer

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka tufanye usajili wa kufuru vilevile mazungumzo yameshafunguliwa na Juventus Dyabala is loading
 
Dembele lazima aje. BVB wameshakubali ila wanataka £100m, na Barca tayari wapo Ujerumani kufanya negotiations. Michael Jean Ser wa Nice pia tunamnyatia, hope tunaweza kumnasa vilevile. Pesa ipo kwa sasa yoyote tunaemtaka tutamchukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mpira siku hizi hauna thamani yani dembele anunuliwe kwa paund 100 si bora hizo hela wakazitupe chooni
 
Dembele keshakubaliana personal terms na barcelona, dotmond wanata £ milioni 90, pia barcelona wapo mbion kutoa offer ya £ milioni 108 kwa ajili ya kumnyakua cottinho nadhan hizi deals zikikamilika tutakua tumepata wachezaji 2 ambao world class kwa kumuuza Neymer

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakuwa tumelamba dume.
 
Tutakuwa tumelamba dume.
Red Giant deal la Coutinho limeshakamilika atatambulishwa jumatatu match ya charity Barcelona na Champecoense kwenye kombe la Joan Gamper Camp Nou tarehe 07/08/2017
Magazeti ya kesho Spain nadhani yataanza kuvujisha habari uongozi wa Barca walitaka iwe underground
 
65181bf9a3d2cc09e76bcdb18ad39f87.jpg
 
Red Giant deal la Coutinho limeshakamilika atatambulishwa jumatatu match ya charity Barcelona na Champecoense kwenye kombe la Joan Gamper Camp Nou tarehe 07/08/2017
Magazeti ya kesho Spain nadhani yataanza kuvujisha habari uongozi wa Barca walitaka iwe underground
Hizi ni habari njema sana. Kuondoka kwa Neymar inaweza kuwa ni blessing in disguise.
 
Hizi ni habari njema sana. Kuondoka kwa Neymar inaweza kuwa ni blessing in disguise.
Kuna blessings nyingi sana mimi msimamo wangu uko pale pale kuna best replacement, next Dembele au Dyabala wataingizwa kwenye deal au Mbape ni short kabla mwezi huu wa tisa haujaisha (transfer window) kuna signing ya pili inakuja ,I needed so much attacking midfield design za Coutinho
Na usajiri wote unaangalia future tunachukua watoto !!strategic transfer
 
Gimnastic Vs Barca 1: 1. Barca ilichezesha team B yote.

JPM KAMATA WEZI
 
Hii thread bana,sasa tunarushana roho,hujui ukweli ni upi na gossip ni ipi,tuhurumieni jamani sisi wengine tuna matatizo ya moyo
Hautakiwi ufe moyo wakati uko Barca na Qatar wametema mpunga transfer kwa Coutinho tayari ,very soon Dyabala au Dembele
Screenshot_2017-08-05-07-41-11-1.png
 
Back
Top Bottom