Beautifulgirl
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 300
- 265
huyu vamaleen ni bomu injury mda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No Neymer no FCB..Hautakiwi ufe moyo wakati uko Barca na Qatar wametema mpunga transfer kwa Coutinho tayari ,very soon Dyabala au Dembele
View attachment 558502
ha ha velverde eti anasema amefurahishwa nae so atabakia clubhuyu vamaleen ni bomu injury mda wote
huyu tayari hadi amangement yao ameshawa inform ,nasikia velverde hajapendezwa na pale katikati watu hua wanapita sana so anapatafutia muarobaini wa substitute"However, he admitted that if a club pays the 32 million euros release clause and the player wants to go, there is nothing the club can do".![]()
"Barça have already spoken with the player and an agreement is in place. The club are going to pay the release clause as they realise there's no chance of negotiating with La Real".
Ni Beki wa kati huyo. Muda wowote tunalipa release clause kiasi cha €32 million. Yuko vizuri, ni center back kutoka Real Sociedad...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sources mbalimbali zinasema Barca wame hold usajili wa Dembele ili washughulike na wa Dyabala ambao tutamchukua kwa hela pungufu kwa sababu wao deal lao wanataka tumu include player mmoja kati ya Andres Gomes au Rafinha wanawahitaji so tutafanya exchange with some moneyMkuu mwekundu nakubali sana huyu mzee wa mask ngoja tulete ya coutinho yule bishoo wa kwa mtogole atakuwa analike picha za wanaume wa shoka itakuwa hatari sana
mmmmmhhhh na hizo injury zake lkn tusubiri tuoneha ha velverde eti anasema amefurahishwa nae so atabakia club
Like vivo yaanihuyu tayari hadi amangement yao ameshawa inform ,nasikia velverde hajapendezwa na pale katikati watu hua wanapita sana so anapatafutia muarobaini wa substitute
Hahaaaa, uko sahihi
huyu beki nime cheki video zake YouTube aisee anapiga pass kama xavi, labda velverde anamtaka kwasababu hio ila kwenye defence bado hajamfikia umtiti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]