FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nafikiri 90% Little Magician Tayari Sasa waongeze nguvu kwa mnyama dyabalamask huyu dembele atulie kwanza kwa watoto wenzake
 
Messi amechangulia kuwa ni mchezaji bora wa Laliga wa muda wote katika histori yaani tangu Laliga inaanza ,na Cristiano Ronaldo amekuwa nafasi ya 17
Screenshot_2017-08-07-11-07-21-1.png
 
Match ya Leo ni Joan Gamper cup ,itachezwa kama match ya charity kuchangia team ya Chapecoense ya Brazil kama una kumbukumbu sawasawa hawa jamaa walipata ajali ya ndege nakupoteza wachezaji karibia wote though kulikua na survivors ambao wako disabled so match inalenga kuchangia familia za wafiwa

Itachezwa majira ya 09:30 pm usiku majira ya East Africa

Barcelona Vs Chapecoase (charity) 09:30 am
Kuhusu
Joan Gamper cup ni kikombe ambacho FC Barcelona wanakifanya kwa kuenzi founder wa Barcelona ambaye baadae alikua Raisi wa FC Barcelona baadae

Ni kikombe ambacho kinachezwa mwezi wa nane (August) kabla league haijaanza.Match always hua inachezwa Camp Nou
 
daaaahhh paulinho utakuwa kama usajili wa Andres Gomes.Kitu ki1 ambacho barca hawakielewi usajili wa nguvu utaua vipaji vyote vya Lamasia. Seergio Roberto, Denis suarez, Callejon wanatakiwa wapewe nafasi ili kukuza na kuonyesha makali yao
Nafkr wanamchukua kwa minajil ya biashara hasa brazil na china... Jamaaa anauzka kwel kwle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mkuu huyu dembele n habar nyingne kabsa.... N fund kwel kwel... Ana vitu ving vya ku offer kuliko dybala

Sent using Jamii Forums mobile app
Youtube kulikuwa na kipoll kati ya Dybala na D
embele nani anafaa kuziba pengo la Neymar. Wengi walimchagua Dembele. Mi mwenyewe namkubali sana dogo. Kwanza anatumia miguu yote hivyo anaweza cheza winger zote pia kwenye dribbling skills kamuacha mbali Dybala. Naona kama Dybala ni overated and overpriced.
 
Kabsaaa mkuu... Hata foot work yake. N balaaa... Yuko physical na ananyumbulika vizur sana... Hakika pale tupande dau...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PNC Wapi kuna jamaaa mmoja nilikuwa na schoool ne somewhere someplace alikuwa ni mnazi wa barca mpk akaniambukiza
 
Transfer-News-Liverpool-have-accepted-a-90m-offer-from-Barcelona-claim-1024448.jpg

Barca Naona mnamaliza hasira kwa liverpool.

Liverpool have accepted a £90m offer from Barcelona for Philippe Coutinho, according to hug

What goes around always comes around
 
Nimesoma kuwa Man U wanamtaka Roberto kwa euro 40m. Roho itaniuma sana. Usajili wetu msimu huu unaweza kukutia mtu kichaa.
[emoji23][emoji23] pole mkuu, mbona usajili wa msimu huu ni vurugu tu haaha

What goes around always comes around
 
board wakifanya usengerema kumuacha dogo aondoke nitakasirika sana....huyu akiondoka ndio ataniumiza sio yule bishoo
board ya barca kuna tatizo sergio robert ni mzuri sana kwenye midfielder mechi zote za msimu uliopita za Elclassico alionyesha uwezo wake kumwacha aondoke kwa pesa kiduchu ni dharau na watakuwa hawajamtendea haki. Spectulation zimekuwa nyingi mpaka kelo uza gomes, varmeleeen, munir elhadad, Paco alcacer na toa kwa mkopo Denis Suarezi ili apate
uzoefu wa kutosha
 
Yani huyu Gomes nikisikia jina lake mpaka kichwa kinaniuma ya lucho sijui tulimkosea nini akatuletea zigo la mavi hili
 
Back
Top Bottom