Tunataka tufanye usajili wa kufuru vilevile mazungumzo yameshafunguliwa na Juventus Dyabala is loadingDembele keshakubaliana personal terms na barcelona, dotmond wanata £ milioni 90, pia barcelona wapo mbion kutoa offer ya £ milioni 108 kwa ajili ya kumnyakua cottinho nadhan hizi deals zikikamilika tutakua tumepata wachezaji 2 ambao world class kwa kumuuza Neymer
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanirusha roho mkuu, tupe link basiCoutinho tayari ni Barcelona player
Unanirusha roho mkuu, tupe link basiCoutinho tayari ni Barcelona player
Hizo ni habari zakuaminika kama wewe ni fan wa liverpool karibu tulie woteUnanirusha roho mkuu, tupe link basi
kweli mpira siku hizi hauna thamani yani dembele anunuliwe kwa paund 100 si bora hizo hela wakazitupe chooniDembele lazima aje. BVB wameshakubali ila wanataka £100m, na Barca tayari wapo Ujerumani kufanya negotiations. Michael Jean Ser wa Nice pia tunamnyatia, hope tunaweza kumnasa vilevile. Pesa ipo kwa sasa yoyote tunaemtaka tutamchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakuwa tumelamba dume.Dembele keshakubaliana personal terms na barcelona, dotmond wanata £ milioni 90, pia barcelona wapo mbion kutoa offer ya £ milioni 108 kwa ajili ya kumnyakua cottinho nadhan hizi deals zikikamilika tutakua tumepata wachezaji 2 ambao world class kwa kumuuza Neymer
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Chacha!!! Ila negotiation inaendelea! Liverpool nao wanata 120m kwa Coutihno.kweli mpira siku hizi hauna thamani yani dembele anunuliwe kwa paund 100 si bora hizo hela wakazitupe chooni
Red Giant deal la Coutinho limeshakamilika atatambulishwa jumatatu match ya charity Barcelona na Champecoense kwenye kombe la Joan Gamper Camp Nou tarehe 07/08/2017Tutakuwa tumelamba dume.
Hizi ni habari njema sana. Kuondoka kwa Neymar inaweza kuwa ni blessing in disguise.Red Giant deal la Coutinho limeshakamilika atatambulishwa jumatatu match ya charity Barcelona na Champecoense kwenye kombe la Joan Gamper Camp Nou tarehe 07/08/2017
Magazeti ya kesho Spain nadhani yataanza kuvujisha habari uongozi wa Barca walitaka iwe underground
Kuna blessings nyingi sana mimi msimamo wangu uko pale pale kuna best replacement, next Dembele au Dyabala wataingizwa kwenye deal au Mbape ni short kabla mwezi huu wa tisa haujaisha (transfer window) kuna signing ya pili inakuja ,I needed so much attacking midfield design za CoutinhoHizi ni habari njema sana. Kuondoka kwa Neymar inaweza kuwa ni blessing in disguise.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii thread bana,sasa tunarushana roho,hujui ukweli ni upi na gossip ni ipi,tuhurumieni jamani sisi wengine tuna matatizo ya moyo
Daaaah kumbe tupo wengi mkuuHii thread bana,sasa tunarushana roho,hujui ukweli ni upi na gossip ni ipi,tuhurumieni jamani sisi wengine tuna matatizo ya moyo
Hautakiwi ufe moyo wakati uko Barca na Qatar wametema mpunga transfer kwa Coutinho tayari ,very soon Dyabala au DembeleHii thread bana,sasa tunarushana roho,hujui ukweli ni upi na gossip ni ipi,tuhurumieni jamani sisi wengine tuna matatizo ya moyo