huyo paulinho sijui anafata nini ya huu uongozi wa kisengerema kwelidaaaahhh paulinho utakuwa kama usajili wa Andres Gomes.Kitu ki1 ambacho barca hawakielewi usajili wa nguvu utaua vipaji vyote vya Lamasia. Seergio Roberto, Denis suarez, Callejon wanatakiwa wapewe nafasi ili kukuza na kuonyesha makali yao
Aisee mkuu huyu dembele n habar nyingne kabsa.... N fund kwel kwel... Ana vitu ving vya ku offer kuliko dybalaNafikiri 90% Little Magician Tayari Sasa waongeze nguvu kwa mnyama dyabalamask huyu dembele atulie kwanza kwa watoto wenzake
Nafkr wanamchukua kwa minajil ya biashara hasa brazil na china... Jamaaa anauzka kwel kwledaaaahhh paulinho utakuwa kama usajili wa Andres Gomes.Kitu ki1 ambacho barca hawakielewi usajili wa nguvu utaua vipaji vyote vya Lamasia. Seergio Roberto, Denis suarez, Callejon wanatakiwa wapewe nafasi ili kukuza na kuonyesha makali yao
Youtube kulikuwa na kipoll kati ya Dybala na DAisee mkuu huyu dembele n habar nyingne kabsa.... N fund kwel kwel... Ana vitu ving vya ku offer kuliko dybala
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabsaaa mkuu... Hata foot work yake. N balaaa... Yuko physical na ananyumbulika vizur sana... Hakika pale tupande dau...Youtube kulikuwa na kipoll kati ya Dybala na D
embele nani anafaa kuziba pengo la Neymar. Wengi walimchagua Dembele. Mi mwenyewe namkubali sana dogo. Kwanza anatumia miguu yote hivyo anaweza cheza winger zote pia kwenye dribbling skills kamuacha mbali Dybala. Naona kama Dybala ni overated and overpriced.
Inawezekana ni mimi nini?[emoji1] [emoji1]PNC Wapi kuna jamaaa mmoja nilikuwa na schoool ne somewhere someplace alikuwa ni mnazi wa barca mpk akaniambukiza
[emoji23][emoji23] pole mkuu, mbona usajili wa msimu huu ni vurugu tu haahaNimesoma kuwa Man U wanamtaka Roberto kwa euro 40m. Roho itaniuma sana. Usajili wetu msimu huu unaweza kukutia mtu kichaa.
We jamaa ni mnaa eti umetaja na nafasi ya Ronaldo mbona hujataja na nafasi ya zidane maana nae alikipiga la liga?Messi amechangulia kuwa ni mchezaji bora wa Laliga wa muda wote katika histori yaani tangu Laliga inaanza ,na Cristiano Ronaldo amekuwa nafasi ya 17
View attachment 560147
board wakifanya usengerema kumuacha dogo aondoke nitakasirika sana....huyu akiondoka ndio ataniumiza sio yule bishooNimesoma kuwa Man U wanamtaka Roberto kwa euro 40m. Roho itaniuma sana. Usajili wetu msimu huu unaweza kukutia mtu kichaa.
board ya barca kuna tatizo sergio robert ni mzuri sana kwenye midfielder mechi zote za msimu uliopita za Elclassico alionyesha uwezo wake kumwacha aondoke kwa pesa kiduchu ni dharau na watakuwa hawajamtendea haki. Spectulation zimekuwa nyingi mpaka kelo uza gomes, varmeleeen, munir elhadad, Paco alcacer na toa kwa mkopo Denis Suarezi ili apateboard wakifanya usengerema kumuacha dogo aondoke nitakasirika sana....huyu akiondoka ndio ataniumiza sio yule bishoo
board ya barca kuna tatizo sergio robert ni mzuri sana kwenye midfielder mechi zote za msimu uliopita za Elclassico alionyesha uwezo wake kumwacha aondoke kwa pesa kiduchu ni dharau na watakuwa hawajamtendea haki. Spectulation zimekuwa nyingi mpaka kelo uza gomes, varmeleeen, munir elhadad, Paco alcacer na toa kwa mkopo Denis Suarezi ili apate
uzoefu wa kutosha