FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huu ni mda wa kuigekuia Lamasia, mchezaji kama Dembele alinunuliwa kwa €15mil, half leo hii auzwe zaid ya €100mil, uwezo wake hauendani na thaman ya hela inayotakiwa, tatzo si pesa tatzo ni kwamba usajili wa NEYMAR kwenda psg umeathr usajili kwa kiwango kikubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dembele hata mikiki ya UEFA hajaijua vizuri

Maamuzi magumu yakuigeukia Lamasia yanatakiwa tena sasa hivi Velverde ameanza na mfumo wa Tick Tacka na pressuring game ita to favor sana
Hata dream team ya 2007-2011 ilijengwa na lamasia Cantera graduates
 
Dogo fighter sana. Sema spana mkononi. Msimu ulioisha katupia kama goli tano. Ni mashine sema majeruhi sana.
Kuna dogo Munir kwann asirudishwe pale kuliko kumsajili Dembele, maana naamini huyo dogo akipewa nafasi anapiga fresh kwa nafasi ya winger!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Thiago Alcantara hauzwi na hatakubali kurudi
Kosa kubwa sana Barca walilifanya kumuuza huyo dogo ndio alikuwa mrithi sahihi wa Xavi

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ulikua unamaanisha Rennes
 
Yani hii board ya barca siwaamini kabisa yani wapo wapo kama misukule tu
Board ya Barca inafanya sahihi kabisa,soko limekuwa inflated.Barca haitakiwi ku panic-haiwezekani itumike hela nyingi kwa players ambao we don't even know wata fit katika system.Trust me high pressing ya huyu coach will surprise all doubters.
 
Ni possible kabisa ikawa suprise kwa wengi wetu....ngoja tusubiri....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Board ya Barca inafanya sahihi kabisa,soko limekuwa inflated.Barca haitakiwi ku panic-haiwezekani itumike hela nyingi kwa players ambao we don't even know wata fit katika system.Trust me high pressing ya huyu coach will surprise all doubters.
Mimi naamini kikosi kikichopo Kinaweza kuchukua vikombe vyote vikubwa msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…