FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ni ko very optimistic na huu usajili. Who scored.com. inasema yuko very strong kwenye Tackling na passing hasa short passes. Wanamsifu kuwa hana significant weakness. Msimu uliopita kapiga mechi 20. Katoa assist 2 na kufunga golu saba.

K
 
Kwenye national timu kacheza mechi 47 na goli 9 not bad for a central midfielder.
 
Sababu yoyote ile iliyoifanya board ya Barca kumsajili paulinyo lazima itakuwa ya kipumbavu tu, what a shame
 
Reactions: GUI
Kuelekea Spanish supercup

Wafanyakazi wengi wa kampuni ya betting ya Spain wame bet kama Real Madrid watakaa match ya kesho Camp Nou
 
Reactions: GUI
Sababu yoyote ile iliyoifanya board ya Barca kumsajili paulinyo lazima itakuwa ya kipumbavu tu, what a shame
Nafikiri kwa maoni yao ya kibiashara lazima timu iwe na mchezaji wa timu ya taifa ta Brazil.
 
Mi nimesoma hapo kwenye signature yako tu, Usipouanika utautwanga mbichi.
Ni kweli kwa sasa tunautwanga mbichi. Lakini usajili una siasa na mambo mbalimbali. I hope ataupiga mwingi. Dani Alves kampita miaka mitano lakini bado anaupiga wa kutosha. Ajichukua €230k per week.
 
Nafikiri kwa maoni yao ya kibiashara lazima timu iwe na mchezaji wa timu ya taifa ta Brazil.
Haiwezi ikawa hivyo, board ipo desperate tu, barca ina viungo wazuri kuliko paulinyo sasa wao wana mnunua wa nini? Kama suala ni kuwa na mbraziki, mbona rafinya yupo
 
Dortmund wanasema kesho wataongea na Dembele na kutoa jibu kuhusu future yake.
 
Wazee naona kamba ya Liverpool inazidi kulowana na soon itakatika-imevutwa sana haya ni maneno ya Klop leo

"Sometime you have to accept the words of owners as well as wishes of players "

Puuuuuu.........
Deal done ,nakumbuka jimbo la Juma Nature tatu bila ....Eeeh...wamebana wameachia tatu bila tatu bilax3

Boss gani atakataa €100M?team yenyewe tumeshaizoea no washiriki wa michuano mbalimbali acha wenye malengo wamchukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…