FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


Thanks Mkuu.
 
Paulinho Sio Level Za Barca Nilitegemea Dili La Neymar Marco Verat Angekuwemo Mana Anapenda Kwenda Barca
Club hazikuwasiliana kabisa, neymar yeye ndio alivunja mkataba na sisi na kuwa free player
 
Teh teh teh...m kama shabiki wa fcb, sometimes hua nafikiri kisha naishi kucheka kuhusu usajiri unaofanywa na hii club. Usajiri kama wa arda turan, homas vamaleen na huu wa ss wa paulinho. Siuoni umuhimu wowote wa kumsajiri poulinho (29) kwa hela hio, na tena kwa kuzingatia anacheza midfield, sehem ambayo ina wachezaj wakutosha.

Kwa maoni yangu. Arda turan na denis suarez wangeuzwa then akatafutwa mido mwenye caliber kama ya verrati. Kimsing ada turan na denis suarez wameflop.
 
kwa Denis no, Ila Arda+gomes+paco+varmanyoko should be sold.halafu naskia Chelsea wanamtaka Segio robert nawamtoa hazard kwa £109m +sergio robert
 
Barcelona wanaandaa ofa mpya kwa ajili ya kiungo wa Liverpool Philippe Coutinho yenye thamani ya paundi milioni 100, kwa mujibu wa Daily Express .
 
Kuna matumaini Makubwa ya Kumsajili Coutinho na Haya ni Maneno ya Jurgen Klopp
As a manager of a football club, I have bosses that decide, for example – just in general – if we sell a player or we don't sell him. Then I have to accept it," Klopp said, as quoted by the Liverpool Echo.
 
Ni kweli usajili ni mbovu ila tuisapoti ivoivo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu lets wait this tonyt match tutaona potential ya team ikoje
 
Barca tuna magarasa mengi sana pale yameachwa na Enrique, yaan tunakuwa kama Arsenal dah!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…