Match ya leo kwa majira ya East Africa Time ni saa tano kamili usiku (23:00)
Barcelona ni wenyeji tukiwakaribisha Los Blancos
Supersport 7 itaonyeshwa nadhani na Azam Tv
Spanish sup Cup ,Barcelona ndio defending champions baada yakuifunga Sevilla mwaka jana nje ndani
Kikosi cha Barcelona ni pamoja na goalkeeper kutoka Barcelona B Adrian Artola Vano
Messi kama kawaida kuanzia Preseason GP monitor tracker yake inasoma vizuri sana kushinda mchezaji yoyoye yule kuanzia pulse rates,acceleration rates za short distance 32M na long distance ,Heartbeats etc
Na yeye ndio anashikilia record yakuwafunga Real Madrid magoli mengi sana (23) katika El Classico
Na ndio mchezaji ambaye anashikilia kufunga magoli mengi sana kwenye Laliga tangu ianze 1898 baada yakuvunja record ya Telmo Zara mwaka 2013 January ,record ambayo ilikaa tangu mwaka 1955
Na ndio mchezaji ambaye idadi ya vikombe vyake alivyowahi kuvichukua vinazidi umri wake (31) na ndio mchezaji mdogo kabisa ku win Bal On Dor mara tatu akiwa umri wa miaka 23 tu ,umri ambao Ronaldo alifunga Hatrick yake ya kwanza
Kubwa zaidi ya yote kuhusu match ya leo Barcelona rasmi wanarudi katika mfumo wao wa Tick taka asilia na penetration balls chini ya best scholar coach wa Johan Cruyyf yaani Velverde