FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yani nimechoka kwa hilo sengerema paulinho kuja barca.....aiseeee nimestuka sana nina uhakika msimu hujao tutauza kwa hasara nahisi kuna fraud hapo aiseee
Nimesoma barcablaugrana. Inaonekana kuna mchezo mchafu Barto anaucheza kwenye usajili wa paulinho. Mambo ya tenda kati ya kampuni take na evegrande. Ila usajili haujawa bado confirmed.
 
Nimesoma barcablaugrana. Inaonekana kuna mchezo mchafu Barto anaucheza kwenye usajili wa paulinho. Mambo ya tenda kati ya kampuni take na evegrande. Ila usajili haujawa bado confirmed.
bora uwe hivyo hivyo mkuu
 
IMG-20170812-WA0010.jpeg
 
Nimesoma barcablaugrana. Inaonekana kuna mchezo mchafu Barto anaucheza kwenye usajili wa paulinho. Mambo ya tenda kati ya kampuni take na evegrande. Ila usajili haujawa bado confirmed.
IMG_20170813_193844.jpeg
IMG_20170813_193841.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Match ya leo kwa majira ya East Africa Time ni saa tano kamili usiku (23:00)
Barcelona ni wenyeji tukiwakaribisha Los Blancos
Supersport 7 itaonyeshwa nadhani na Azam Tv
Spanish sup Cup ,Barcelona ndio defending champions baada yakuifunga Sevilla mwaka jana nje ndani
Kikosi cha Barcelona ni pamoja na goalkeeper kutoka Barcelona B Adrian Artola Vano

Messi kama kawaida kuanzia Preseason GP monitor tracker yake inasoma vizuri sana kushinda mchezaji yoyoye yule kuanzia pulse rates,acceleration rates za short distance 32M na long distance ,Heartbeats etc
Na yeye ndio anashikilia record yakuwafunga Real Madrid magoli mengi sana (23) katika El Classico
Na ndio mchezaji ambaye anashikilia kufunga magoli mengi sana kwenye Laliga tangu ianze 1898 baada yakuvunja record ya Telmo Zara mwaka 2013 January ,record ambayo ilikaa tangu mwaka 1955
Na ndio mchezaji ambaye idadi ya vikombe vyake alivyowahi kuvichukua vinazidi umri wake (31) na ndio mchezaji mdogo kabisa ku win Bal On Dor mara tatu akiwa umri wa miaka 23 tu ,umri ambao Ronaldo alifunga Hatrick yake ya kwanza

Kubwa zaidi ya yote kuhusu match ya leo Barcelona rasmi wanarudi katika mfumo wao wa Tick taka asilia na penetration balls chini ya best scholar coach wa Johan Cruyyf yaani Velverde
Good analysis mkuu, lkn tusipoangalia tunaweza tukawa na msimu wa ovyo kabsa kwa sababu ya usajili unaofanywa na akina Robert Fernandez, inawezekana usajili wa paulnho una lengo la kutaka kuongeza depth kwenye kikosi lkn kulikuwa hakuna ulazima wa kusajili kiungo, viungo wapo wengi mbona?? Haya n matumizi mabaya ya pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom