OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paulinho
mkuu wametangaza?Lazima waonyeshe.
mkuu umetumwa auHalla Man u
Sasa wale si ndo wenye deal ya La liga kwa hapa bongo?mkuu wametangaza?
Nilishasema Batromeo ni Raisi kimeo wa Barca na kama ataendelea kuwepo jiandae kwa matatizo zaidi,kibaya zaidi ni kwamba Real Madrid wanatengeneza kikosi cha kutawala kwa muda mrefu wana mchanganyiko mzuri wa wachezaji wakongwe na chipukiziPaulinho why are inflicting stress and solid depression to barca fans?
This is injustice.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli ila hawatabiriki na cjapata uhakika kamiliSasa wale si ndo wenye deal ya La liga kwa hapa bongo?
Daa dogo akitua itakuwa poa sana.Nimeona Barcelona Live stream...page yao.
Wame andika Dembele Agency amefikia makubaliano na Dortmund. Hivyo by Next week Dembele anaweza ku join Barca.
Pia kule LFC. Advertising za LFC wame muondoa Coutinho pia ktk Duka kubwa la Club matangazo na mabandiko ya Coutihno yametolewa leo hii na ma ofisa wa LFC. Hivyo any time this week or next week chochote cha weza tokea kwa hawa wawili wote.
Hii kwetu ni habar njema.
JPM KAMATA WEZI
ukumbuke kuja kutoa pongezi baada ya dakika 90Nimekuja tuu kuwachokoza...
Sasa hivi niko Santiago Berbabeu
Ushapotea kiwanja hilo ni wenge la kufungwa kila mechiNimekuja tuu kuwachokoza...
Sasa hivi niko Santiago Berbabeu
Naamanisha niko upande ma Madrid wacha ujinga wewe.Ushapotea kiwanja hilo ni wenge la kufungwa kila mechi