FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Halla Man u
mkuu umetumwa au
IMG-20170812-WA0008.jpeg
 
Paulinho why are inflicting stress and solid depression to barca fans?

This is injustice.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishasema Batromeo ni Raisi kimeo wa Barca na kama ataendelea kuwepo jiandae kwa matatizo zaidi,kibaya zaidi ni kwamba Real Madrid wanatengeneza kikosi cha kutawala kwa muda mrefu wana mchanganyiko mzuri wa wachezaji wakongwe na chipukizi
 
Nimeona Barcelona Live stream...page yao.

Wame andika Dembele Agency amefikia makubaliano na Dortmund. Hivyo by Next week Dembele anaweza ku join Barca.

Pia kule LFC. Advertising za LFC wame muondoa Coutinho pia ktk Duka kubwa la Club matangazo na mabandiko ya Coutihno yametolewa leo hii na ma ofisa wa LFC. Hivyo any time this week or next week chochote cha weza tokea kwa hawa wawili wote.

Hii kwetu ni habar njema.

JPM KAMATA WEZI
 
Daa dogo akitua itakuwa poa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushapotea kiwanja hilo ni wenge la kufungwa kila mechi
Naamanisha niko upande ma Madrid wacha ujinga wewe.

Wewe ukisikia jina la kiwanja lazima game iwe inapogiwa hapo..

Strech out your mind mkuu..m
 
Back
Top Bottom