FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Gerrard amecheza vzr sana na master sergio kaz nzuri
Naona kama anapiga krosi mbivu. Kapoteza mbili tatu. Na barca huwa hatutegemea sana krosi. Tunataka winger wa kupangua mabeki. Sasa tukikutana na timu inayopaki basi na mabeki marefu si itakuwa tabu. Au sijaconcetrate sana kwake?
 
4888a13eda3801abbb2d198b208613d4.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kwa dharau..wampe na asensio red
Hala madriiiiid!
 
Back
Top Bottom