A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndio mrithi wa neymar, hahahahahahahaha hahahahahahahaha mnaumwa nyie watu, pengo la neymar halizibiki!Ila huyu Deulofeu anapiga krosi za kindezi kweli. Hawezi kucut in?
Tatizo la Deleouf alikua hapigi mipira ya outer i.e haingizi mipira ndani (cross) na pass accuracy zake kuingiza ndani ilikua very poorbeki hapandishi timu kabisa nyuma napo haeleweki basi tabu tupu.....huyu deleof hakabi wala kunyambulika kwenye box hawezi mwaka huu watatuua kwa presha
yani yule vidal kama darasani basi hafundishiki aiseeeLeo wachezaji wengi walicheza chini ya kiwango imesababisha hadi Messi aumie sana kuifuata mipira katikati
Rakitic hajacheza vizuri,Deleouf,Aleix Vidal,hadi Iniesta hakufunguka na ku hold mipira sana katikati ndio maana hata attemp za Messi zilikua chache sana dk kama 70 hivi beki ilicheza vizuri sijui RB kukakumbwa na mdudu gani a such distance wanatuchungulia daaah
Ngoja second leg
Kweli kabsa amekuwa mtamuuuuupique leo kawa mtamu zaidi
We jamaa nomaBarcelona 1-3 real Madrid.
Kama unataka kubet changamkia dili hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu rudia kauli kwa sauti tukusikieeeeHahaaa Neymar nahis kashaanza kumis pas za la pulga maana huyu cavan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I'm sooooo happy
This proves Neymar can not be replaced and I guess we will eventually have him at Bernabeu[emoji38][emoji38][emoji38]
I said we are going to win this game..AND WE WON!
haha..RIP BARCA
And that what you call a goal keeper..what a joke!
Tonight we just gave u the taste of how it will be the entire season..de rey,la liga..Ours to win!
Em nkalale mie kwa raha zangu
HALA MADRID!

Barcelona 1-3 real Madrid.
Kama unataka kubet changamkia dili hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ni wa kuuzwa tupate hela tufidie machungu kidogo na mwenzake Alcacer Paco tena bila hesitationyani yule vidal kama darasani basi hafundishiki aiseee
Bahati mbaya sinywi biaAgiza bia popote ulipo tafadhalii
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Hahahahaaaa.... Kaka una mpira wa kukalili kwel... Last seasonal tulikua na neymar lakn tatzo lilikua bado n hil la viuongo wetu...I'm sooooo happy
This proves Neymar can not be replaced and I guess we will eventually have him at Bernabeu[emoji38][emoji38][emoji38]
I said we are going to win this game..AND WE WON!
haha..RIP BARCA
And that what you call a goal keeper..what a joke!
Tonight we just gave u the taste of how it will be the entire season..de rey,la liga..Ours to win!
Em nkalale mie kwa raha zangu
HALA MADRID!
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 hongera sana, mlikuwa 12 vs 10 men na mkakalia kitu chenye ncha kaliiiiiiukumbuke kuja kutoa pongezi baada ya dakika 90
Tunaenda kwa Gwajima kumuombea hadi jumatano usiku asipofufuka tunazika, Bernabeu.Povu debeee, mnazika hapa hapa au mnasafirisha???
Pogba wa tz nchi imekushinda!