FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nani kaiga mwenzie
0bf1debdb6e6b6be021675be8185ad63.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Made in China inaleta kadi.
 
Leo barca ilikua mbovu upande wa beki wa kulia, winga ya kushoto ndo kabisa yan winga ata kupunguza mabeki hawezi sijui ni uoga au vipi. Iniesta mi kwangu naona bado hajaisha anacheza vizuri sana, Jordi alba yuko vizuri mno.
Barca ya sasa hivi akiumia MESSI tu hakuna timu mana pressing ya timu anafanya yeye tu akiamua sasa hivi naforce unaona movie yake.
 
Next match tutashinda ila Aleix Vidal apumzishwe na Deleof akae kwanza kando aelewe mchezo Dennis aanze ,vilevile Macherano aanze kucheza kama fake RB wakiwa mabeki watatu team inatulia sana
Weka sergio acheze na wakongwe iniesta na busquet... Toa ractic kwa mkopo kabsa... Yaan ractic amecheza kama gomez tena bora hata gomez kawa kama girould... Kiungo gan una turn kama train ..? N bora tuanze ku risk kama zizzou alivyoanza ... Wakna vasquez n size za kna riberty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeniuma sana Isco kutuchezea namna ile. Hapa tununue Dembele na Coutinho. I can stand to be outscored but i will never stand to be outplayed.
 
Kwn hujaona nmesema kuanzia kiungo mpk mabeki nako kufumuliwe au xavi na iniesta ni mastriker mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu mabeki wako vizuri isipokua Vidal kazingua, ngoja tumuone na Semedo ila beki zingine ziko vizuri.
Viungo Busquets yuko vizuri, tatizo liko kwa raktic tu mana iniesta bado yuko vizuri ila anatakiwa awepo mbadala sababu ya umri mana hawezi kua na consistent katika match nyingi. Winga ya kushoto nalo ni bomu
 
Imeniuma sana Isco kutuchezea namna ile. Hapa tununue Dembele na Coutinho. I can stand to be outscored but i can never stand to be outplayed.
Kaka kwa nn zizzou ameweza...? Hapa hamna cha dembele wala coult... Roberty anapaswa apewe mda mwing sana wa kucheza na busquet na iniesta... Makosa tuliyoyafanya kwa thiago alcantara mpaka sasa yanatutafuna... Kama tuna hazna kwa nn hatuitumii..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mkuu mabeki wako vizuri isipokua Vidal kazingua, ngoja tumuone na Semedo ila beki zingine ziko vizuri.
Viungo Busquets yuko vizuri, tatizo liko kwa raktic tu mana iniesta bado yuko vizuri ila anatakiwa awepo mbadala sababu ya umri mana hawezi kua na consistent katika match nyingi. Winga ya kushoto nalo ni bomu
Nahisi Rakitic kama hakuna RB mzuri huwa anapoteana.
 
Kaka kwa nn zizzou ameweza...? Hapa hamna cha dembele wala coult... Roberty anapaswa apewe mda mwing sana wa kucheza na busquet na iniesta... Makosa tuliyoyafanya kwa thiago alcantara mpaka sasa yanatutafuna... Kama tuna hazna kwa nn hatuitumii..?

Sent using Jamii Forums mobile app
we nawe unazingua unasema hamna coutinho wala dembele winga ya kushoto atacheza nani, wote muhimu apo sergi roberto anacheza kwa raktic na iniesta yuko sawa sema umri anahitaji mbadala hawezi kua na consistent uku Dembele anatulia winga ata ya kushoto
 
Sio kweli mkuu mabeki wako vizuri isipokua Vidal kazingua, ngoja tumuone na Semedo ila beki zingine ziko vizuri.
Viungo Busquets yuko vizuri, tatizo liko kwa raktic tu mana iniesta bado yuko vizuri ila anatakiwa awepo mbadala sababu ya umri mana hawezi kua na consistent katika match nyingi. Winga ya kushoto nalo ni bomu
huyu rakit sijui kapatwa na nini siku hizi mpira haukai kabisa mguuni akae nje wenzake wacheze huyu vidal ndio shit ever
 
Back
Top Bottom