Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penye nyekundu,hueleweki hata kidogo!!ivi barcelona yetu "sticky" iko wapi???au ni macho yangu tu
uyo dogo yani ananipa raha sana aisee burdani sana uyu mtoto
mkuu mi mpaka nimechoka niRIjaribu kuMPM INVISIBLE WAKAIWEKA ILA INAONEKANA EPL FANS NDIO WENYE PRIORITY HUMU JAMVINI SIE WENGINE TULIE TU. ILA TUTAENDELEA KUWASHIKIS HA ADABU ACHA WATUDHARAU TU.moderator wa hii sports,mbona kutoiweka barcelona as a "sticky" thread?kuna sababu labdawewe hujui sie ndo mabingwa wa dunia sasa!au wee man u nini?
Hivi kweli huyu jamaa alifunga magoli yote hayo yaani 1283, maana ni wastani wa goli moja kwa kila mechi kwa muda wa miaka mitatu na nusu na kila siku unacheza au wastani wa magoli zaidi ya 60 kwa kila msimu kwa jumla ya misimu ishirini, mimi nadhan watakuwa wanahesabu hadi magoli ya mazoezini au kuanzia magoli aliyofunga wakati anacheza chandimu, hayo magoli ni mengi mno kama utahesabu kwenye mechi za mashindano na za kirafiki tu la sivyo kuna uongo ambao anataka Pele tuamini hakuwa mtu wa kawaida.Pele takes double swipe at Messi Fri, 24 Jun 09:47:00 2011
Pele has said that Lionel Messi is nowhere near as good as he was and that he hopes Neymar doesn't turn out like the Barcelona star.
![]()
'To me, Pele is the best,' says Pele
- After watching his former club Santos win the Copa Libertadores, the Brazilian was asked whether he thought Messi was at the same level as him. "Messi better than Pele? To get there he needs to score more than 1283 goals," said the 70-year old.
Pele scored 1283 goals throughout his career for Santos, New York Cosmos and Brazil, while Messi, who has just turned 24, has so far scored 180 senior goals for Barcelona and Argentina.
"Neymar has great talent. I hope Neymar doesn't end up like Messi, who plays so well for his club but does nothing for his country," said Pele.
Earlier this year Pele spoke about himself in the third person to reveal how he rated his own achievements.
"Nobody did what Pele did. Being champion of the world at 17 years old, won three World Cups, scored more than 1,208 goals - only him! Then until now, nobody did this... to me, Pele is the best," he told CNN in April.
Source:Eurosport
Hahahahahaa! Mi sikumbuki nilifunga magoli mangapi! Mara ya mwisho nilifunga mawili nilipokuwa form three!!Hivi kweli huyu jamaa alifunga magoli yote hayo yaani 1283, maana ni wastani wa goli moja kwa kila mechi kwa muda wa miaka mitatu na nusu na kila siku unacheza au wastani wa magoli zaidi ya 60 kwa kila msimu kwa jumla ya misimu ishirini, mimi nadhan watakuwa wanahesabu hadi magoli ya mazoezini au kuanzia magoli aliyofunga wakati anacheza chandimu, hayo magoli ni mengi mno kama utahesabu kwenye mechi za mashindano na za kirafiki tu la sivyo kuna uongo ambao anataka Pele tuamini hakuwa mtu wa kawaida.
Alikwambia nani kuwa soka la sasa na la kale ugumu wake ni sawa?Pele alicheza mpira enzi hiyo hakuna offside, kipa akirudishiwa anadaka, na ushuzi mwingine mwingi tu.Ila sasa hivi soka ni gumu kiasi kwamba sheria ni nyingi na ni kali, pia soka la siku hizi wachezaji wanatumia nguvu nyingi mixer akili nyingi.yeye Pele hajawahi kucheza ulaya, na hata alipokuja kucheza ktk mashindano ya klabu bingwa ya dunia hakufurukuta mbele ya ukuta wa chuma wa AC Milan chini ya makamanda wawili Mzee Trapattoni na komredi Cesare Maldini.Pele ushuzi tuHata wakati ule wa Pele mpira bado ulikuwa ni mgumu tu kama ilivyo sasa! Kila mahala kuna ugumu wake!
Alikwambia nani kuwa soka la sasa na la kale ugumu wake ni sawa?Pele alicheza mpira enzi hiyo hakuna offside, kipa akirudishiwa anadaka, na ushuzi mwingine mwingi tu.Ila sasa hivi soka ni gumu kiasi kwamba sheria ni nyingi na ni kali, pia soka la siku hizi wachezaji wanatumia nguvu nyingi mixer akili nyingi.yeye Pele hajawahi kucheza ulaya, na hata alipokuja kucheza ktk mashindano ya klabu bingwa ya dunia hakufurukuta mbele ya ukuta wa chuma wa AC Milan chini ya makamanda wawili Mzee Trapattoni na komredi Cesare Maldini.Pele ushuzi tu