Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilitaka kupost kumbe umeniwahi saluti kutoka kimanzichana hapa (sabadell) jirani kabisa na sergio busquets burgos
...Kwasasa sidhani kuna master tactician mzuri wa defence kama Mourinho, ambaye pamoja na kuwatumia Lassana Diarra, Alonso et al...bado Barcelona waliweza penetrate.
Jamaa wako kwenye different level,....tusubirie kina Xavi na Iniesta waondoke ndipo tutaona udhaifu wao...Mind you, hao jamaa pia wanaiweka juu Spain National team.
Ulikuwa ni uchambuzi mzuri, mkuu kama utaendelea hivi hivi napenda nikushauri utafute kituo cha tv au redio ili ujiongezee kipato.
Ijapokuwa mimi ni mshabiki wa Man Utd, lakini lazima tukubali Barca walicheza mpira Jumamosi!
Cheki hii video uone gonga zao hapo midfield!!
Giuseppe Rossi is ready to join Barcelona - Villarreal's Joan Oriol - Goal.com
I WISH HII TRANSFER ITOKEE IKWEZEKANA NA NEYMAR TUMRUDISHE NA CESC MAISHA YATAKUWA MAZURI KWA KWELI
Rosi ndo target kubwa kwa sasa, Neymar kuna wasiwasi kuwa anaweza akashindwa kuperform na wanahisi kuwa inaweza kuwa kama Keirison, maana mchezaji anapotoka moja kwa moja South America bila kuwa na exposure ya Ulaya huwa wanashindwa ndo maana Barca wanategea.
perfomance ya rossi mkuu msimu huu nimeipenda. ila na kuna haka kabwana mdogo pastore na kana hamu ya kuja barca sana kale..
Bei yake kubwa mkuu,Barca kwa sasa wako makini sana kwenye bei ndo maana hata issue ya Cesc nayo inakuwa na mjadala wa bei,timu zinapandisha bei ili kutaka kubadilishana na wale Yosso pale La Masia.
Bei yake kubwa mkuu,Barca kwa sasa wako makini sana kwenye bei ndo maana hata issue ya Cesc nayo inakuwa na mjadala wa bei,timu zinapandisha bei ili kutaka kubadilishana na wale Yosso pale La Masia.
NAKUSOMA MKUU ILA NAPENDA SANA ANALYSIS ZA CATALAN ARCHITECT JOHAN CRYUFF'Barcelona can get even better if they sign Cesc Fabregas' - Dutch legend Johan Cruyff encourages move for Arsenal captain - Goal.com
Cesc anaumiza sana vichwa vya watu, kama akipatikana kwa bei hiyo wanayoitaka Arsenal, sidhani kama kutakuwa na nafasi tena kwa Rosi, na kwa ukubwa wa kikosi Cesc angefaa kama Johan anavyoshauri, ila kuhusu kmuongeza na Thiago, hapo ni big mistake. So wamchukue Rosi ili Thiago abaki kwa vile Barca hakuna tatizo la viungo, lakini ni vema tukasikilizia kuona suala la Rosi linaendeleaje.
Lingine ni kuamua kuachana na Rosi ili wamchukue Cesc na wakati huo wafufue mpango wa kumsajili Diego Folan ambaye bei yake haitakuwa kubwa na pia ameizoea La Liga na anaweza pia kuvumilia benchi.
it could rise further depending on their summer sales.
| Rank | Player | Amount Earned (USD) |
| 1 | Lionel Messi | $43,800,000 |
| 2 | Cristiano Ronaldo | $38,800,000 |
| 3 | Wayne Rooney | $29,200,000 |
| 4 | Kaka | $27,300,000 |
| 5 | David Beckham | $26,800,000 |
| 6 | Ronaldinho | $25,800,000 |
| 7 | Carlos Tevez | $21,700,000 |
| 8 | Frank Lampard | $20,100,000 |