FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ijapokuwa mimi ni mshabiki wa Man Utd, lakini lazima tukubali Barca walicheza mpira Jumamosi!
Cheki hii video uone gonga zao hapo midfield!!


 
Last edited by a moderator:
Lionel Messi aliwahi kuzuiwa kucheza soka kwa sababu alikuwa na mwili mdogo mno. Katika siku yake ya kwanza shuleni Rosario, Argentina alilazimika kuangalia mpira kutokea nje ya uwanja.
Messi baadae akabainisha: "Utotoni mwangu nilipata wakati mgumu sana kutokana na matatizo ya homoni za kuniwezesha kukua"


Mwaka 1995 akiwa na umri wa miaka 8aliivutia klabu ya River Plate ya Buenos Aires, Argentina lakin walijitoa ktk mpango wa kumsajili mtoto huyo, aliyepachikwa jina la "The Flea" na kaka yake mkubwa Rodrigo kwa sababu klabu hiyo haikuwa tayari kumlipa Messi paundi 500 (Tsh milioni 1.3) kwa mwezi kwa ajiri ya gharama za matibabu yake ya kumsaidia kukua.




mess3444.png

Mambo yalikuwa mabaya zaidi pale madaktari wa klabu hiyo walipoieleza familia ya Messi iliyopigwa bumbuwazi kwamba hataweza kukua zaidi ya urefu wa futi 4 na inchi 7.

Baba yake, Jorge na mama yake Celia ambaye alikuwa mfanyakazi wa usafi hawakuweza kumudu gharama ya matibabu ya mtoto wao, zaidi ya malezi ya watoto wao wengine watatu ktk nchi masikini ya Argentina.

Lakin bahati ilikuwa upande wao. Katik
a hali isiyotarajiwa, ndugu yao anaeishi Catalonia, Hispania alifanikiwa kumchukua mtoto huyo wakati akiwa na umri wa miaka 13 (mwaka 2000) na kumfanyia majaribio ktk klabu ya Barcelona.
Messi akajiunga na timu ya watoto chini ya miaka 14 ya Barcelona mwaka 2000 baada ya klabu hiyo kukubali kubeba gharama za matibabu yake. Akahamia Hispania na baba yake ambaye sasa anajivunia, na katika mechi yake ya kwanza alifunga magoli matano.


Hivi sasa akiwa na urefu wa futi 5 na inchi 7, Messi ameshatwaa makombe matano ya La Liga, matatu ya Uefa Champs League, medali ya dhahabu ya Olimpiki na timu ya taifa ya Argentina, na pia mwanasoka bora Dunia wa FIFA mara mbili mfululizo akitarajiwa kuwa mtu wa
kwanza kutwaa tuzo hiyo mara tatu mfululizo mwaka huu.

mess3.jpg

Kiwango cha Messi kitaendelea kudumu kwa muda mrefu kama akiendelea kuishi maisha yote kwa mtindo wa sasa. Jambo la kuvutia ni kwamba ndio kwanza ana miaka 23 tu, hivyo ana muongo mwingine wa kucheza kwa kiwango cha juu.

rrrrrrrrrrr.jpgeeee.jpg

Historia ya soka inaonyesha kuna nyota wengi waliopotea kwenye ulimwengu huu kutokana na mambo yao nje ya uwanja. Ronaldinho na Diego Maradona walipenda sana parti za usiku, huku George Best na Paul Gascoigne wakipenda sana pombe


Untitledddddddddddd.jpg
 
Last edited by a moderator:
yani kizazi hiki cha la masia kina biskuti,iniesta na xavi ukimuongezea kidogo na pedro ni balaa hii timu jumlisha na xabi alonso timu ya taifa kati,hata kipa ukiweka jezi ushindi uhakika.
 
...Kwasasa sidhani kuna master tactician mzuri wa defence kama Mourinho, ambaye pamoja na kuwatumia Lassana Diarra, Alonso et al...bado Barcelona waliweza penetrate.

Jamaa wako kwenye different level,....tusubirie kina Xavi na Iniesta waondoke ndipo tutaona udhaifu wao...Mind you, hao jamaa pia wanaiweka juu Spain National team.

Unaweza kuwa sahihi, lakini itategemea na kocha atakaekuwepo wakati huo, Xaviniesta watakapokuwa hawapo tayari kuna vijana kutoka Cardet A, Juvenil A na Barca B ambao wameonesha uwezo mkubwa sana wa kuchukua nafasi, mfano Thiago.

Barca B ambao msimu huu wamecheza Segunda A na kufanikiwa kupanda La Liga(japo kisheria hawaruhusiwi kucheza La Liga), kuna viungo wazuri mno, fuatilia Euro U 19 utawaona akina Xaviniesta wengine!
 
Ijapokuwa mimi ni mshabiki wa Man Utd, lakini lazima tukubali Barca walicheza mpira Jumamosi!
Cheki hii video uone gonga zao hapo midfield!!




wewe ni kati ya true footballer's wa ukweli
bora uliliona hilo na ukajua jinsi gani man u ni mdebwedo mbele ya barca
watoto wanapiga kiatu si masihala aisee tena bila kelele wala kwere
yani man u walikua hoi kama kitete cha babu yao

pamoja barca tunakukaribisha pia
hahaaa
 
Last edited by a moderator:
Kings of possession

Barça have 73.4% average possession of the ball. Bayern Munich have 61.5%, and are second followed by Arsenal with 60.5%. Their main rivals in the league, Real Madrid, are ninth (56.61%) and the European runners up, Manchester United, are tenth with 56.4%.
 
Rosi ndo target kubwa kwa sasa, Neymar kuna wasiwasi kuwa anaweza akashindwa kuperform na wanahisi kuwa inaweza kuwa kama Keirison, maana mchezaji anapotoka moja kwa moja South America bila kuwa na exposure ya Ulaya huwa wanashindwa ndo maana Barca wanategea.

perfomance ya rossi mkuu msimu huu nimeipenda. ila na kuna haka kabwana mdogo pastore na kana hamu ya kuja barca sana kale..
 
perfomance ya rossi mkuu msimu huu nimeipenda. ila na kuna haka kabwana mdogo pastore na kana hamu ya kuja barca sana kale..

Bei yake kubwa mkuu,Barca kwa sasa wako makini sana kwenye bei ndo maana hata issue ya Cesc nayo inakuwa na mjadala wa bei,timu zinapandisha bei ili kutaka kubadilishana na wale Yosso pale La Masia.
 

Cesc anaumiza sana vichwa vya watu, kama akipatikana kwa bei hiyo wanayoitaka Arsenal, sidhani kama kutakuwa na nafasi tena kwa Rosi, na kwa ukubwa wa kikosi Cesc angefaa kama Johan anavyoshauri, ila kuhusu kmuongeza na Thiago, hapo ni big mistake. So wamchukue Rosi ili Thiago abaki kwa vile Barca hakuna tatizo la viungo, lakini ni vema tukasikilizia kuona suala la Rosi linaendeleaje.

Lingine ni kuamua kuachana na Rosi ili wamchukue Cesc na wakati huo wafufue mpango wa kumsajili Diego Folan ambaye bei yake haitakuwa kubwa na pia ameizoea La Liga na anaweza pia kuvumilia benchi.
 
Cesc anaumiza sana vichwa vya watu, kama akipatikana kwa bei hiyo wanayoitaka Arsenal, sidhani kama kutakuwa na nafasi tena kwa Rosi, na kwa ukubwa wa kikosi Cesc angefaa kama Johan anavyoshauri, ila kuhusu kmuongeza na Thiago, hapo ni big mistake. So wamchukue Rosi ili Thiago abaki kwa vile Barca hakuna tatizo la viungo, lakini ni vema tukasikilizia kuona suala la Rosi linaendeleaje.

Lingine ni kuamua kuachana na Rosi ili wamchukue Cesc na wakati huo wafufue mpango wa kumsajili Diego Folan ambaye bei yake haitakuwa kubwa na pia ameizoea La Liga na anaweza pia kuvumilia benchi.

hapa nakusoma mkuu on my view thiago ndiye guardiola na xavi mpya pale catalan cesc akirudi kwa kweli iatchukua muda sana midfield ya barca kusomeka kwa wapinzani
 
it could rise further depending on their summer sales.

When we speak about sales we will only consider those that are beneficial to the club.

"Nadhani hapo ndipo watakapo focus zaidi,lakini muhimu ni kufanikisha malengo, pia kuna kutoa pesa pamoja na mchezaji ili kupunguza ile kiasi kitakachotakiwa kutolewa.
 
Barcelona's Lionel Messi has been confirmed as the best-paid footballer in the world having picked up $43.8 million (€30.5m) in the last year, according to America's Sports Illustrated 'Fortunate 50' list. The Argentinian, who is widely acknowledged as the greateat player on the planet, came out above Cristiano Ronaldo and Wayne Rooney in the list, who earned €27.1m and €23m respectively.
The ‘Fortunate 50' takes into account the earnings, endorsements, bonuses and appearance fees of leading sports stars.

Tiger Woods is leading the way – earning a staggering €46m last year, though that was down €20m on his previous year's earnings.
Despite being the highest earning footballer, the Camp Nou superstar only came seventh on the overall sporting list, behind the likes of Formula One driver Fernando Alonso, who is a Real Madrid supporter himself.

Below are the footballers who made the international top 20, with figures given from the recently-completed season.

RankPlayerAmount Earned (USD)
1Lionel Messi$43,800,000
2Cristiano Ronaldo$38,800,000
3Wayne Rooney$29,200,000
4Kaka$27,300,000
5David Beckham$26,800,000
6Ronaldinho$25,800,000
7Carlos Tevez$21,700,000
8Frank Lampard$20,100,000
 
Back
Top Bottom