Mkuu cc hatumhtaj coult. Tunahtaj replacement ya xav na iniesta... Bado tunaunga sanaBarca ni kumvuta coutinho then kuanzia kiungo mpk beki watafute wachezaji leo pique alikua kwny ubora wake asee km ninja wa yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Made in China inaleta kadi.
Kwani Coutinho sio replacement ya iniesta? Coutinho anafaa sana barcaMkuu cc hatumhtaj coult. Tunahtaj replacement ya xav na iniesta... Bado tunaunga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwn hujaona nmesema kuanzia kiungo mpk mabeki nako kufumuliwe au xavi na iniesta ni mastriker mkuu?Mkuu cc hatumhtaj coult. Tunahtaj replacement ya xav na iniesta... Bado tunaunga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka sergio acheze na wakongwe iniesta na busquet... Toa ractic kwa mkopo kabsa... Yaan ractic amecheza kama gomez tena bora hata gomez kawa kama girould... Kiungo gan una turn kama train ..? N bora tuanze ku risk kama zizzou alivyoanza ... Wakna vasquez n size za kna ribertyNext match tutashinda ila Aleix Vidal apumzishwe na Deleof akae kwanza kando aelewe mchezo Dennis aanze ,vilevile Macherano aanze kucheza kama fake RB wakiwa mabeki watatu team inatulia sana
halafu yule fala anatuletea paulinho yani mchezaji hakuna timu hiliyokuwa inamtaka wewe unamfata mbio kuna haja ya kupiga kura kutokuwa na imani na raisi fala yuleJamaa ni wa kuuzwa tupate hela tufidie machungu kidogo na mwenzake Alcacer Paco tena bila hesitation
Mkuu coult anacheza kama neymar... I mean forward anaecheza kama kiungo wa pemben..Kwani Coutinho sio replacement ya iniesta? Coutinho anafaa sana barca
Una akili TIMAMU kweli..!?Kawa mtamu kishenzi. Ila nafikiri kwa sasa ukizungumzia ma CB wawili bora duniani huwezi kumuacha Umtiti. Jamaa ana akili ya haraka sijapata kuona.
Unataka kusema Ramos naye yumo!?Una akili TIMAMU kweli..!?
Samahani lakini..!
Sio kweli mkuu mabeki wako vizuri isipokua Vidal kazingua, ngoja tumuone na Semedo ila beki zingine ziko vizuri.Kwn hujaona nmesema kuanzia kiungo mpk mabeki nako kufumuliwe au xavi na iniesta ni mastriker mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka kwa nn zizzou ameweza...? Hapa hamna cha dembele wala coult... Roberty anapaswa apewe mda mwing sana wa kucheza na busquet na iniesta... Makosa tuliyoyafanya kwa thiago alcantara mpaka sasa yanatutafuna... Kama tuna hazna kwa nn hatuitumii..?Imeniuma sana Isco kutuchezea namna ile. Hapa tununue Dembele na Coutinho. I can stand to be outscored but i can never stand to be outplayed.
nacheki psg ns guingamp nacheki neymoney anavyorukaruka
Kashinda goli moja na katoa assist moja kali..!
Nahisi Rakitic kama hakuna RB mzuri huwa anapoteana.Sio kweli mkuu mabeki wako vizuri isipokua Vidal kazingua, ngoja tumuone na Semedo ila beki zingine ziko vizuri.
Viungo Busquets yuko vizuri, tatizo liko kwa raktic tu mana iniesta bado yuko vizuri ila anatakiwa awepo mbadala sababu ya umri mana hawezi kua na consistent katika match nyingi. Winga ya kushoto nalo ni bomu
we nawe unazingua unasema hamna coutinho wala dembele winga ya kushoto atacheza nani, wote muhimu apo sergi roberto anacheza kwa raktic na iniesta yuko sawa sema umri anahitaji mbadala hawezi kua na consistent uku Dembele anatulia winga ata ya kushotoKaka kwa nn zizzou ameweza...? Hapa hamna cha dembele wala coult... Roberty anapaswa apewe mda mwing sana wa kucheza na busquet na iniesta... Makosa tuliyoyafanya kwa thiago alcantara mpaka sasa yanatutafuna... Kama tuna hazna kwa nn hatuitumii..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi ila mimi leo kwa Vidal kwenye kukaba nampa zero.Nahisi Rakitic kama hakuna RB mzuri huwa anapoteana.
Ndio maana nimehoji UTIMAMU wa akili yako mkuu..!Unataka kusema Ramos naye yumo!?
huyu rakit sijui kapatwa na nini siku hizi mpira haukai kabisa mguuni akae nje wenzake wacheze huyu vidal ndio shit everSio kweli mkuu mabeki wako vizuri isipokua Vidal kazingua, ngoja tumuone na Semedo ila beki zingine ziko vizuri.
Viungo Busquets yuko vizuri, tatizo liko kwa raktic tu mana iniesta bado yuko vizuri ila anatakiwa awepo mbadala sababu ya umri mana hawezi kua na consistent katika match nyingi. Winga ya kushoto nalo ni bomu