Yaaani wangewaamin sana hawa vijana
Sawa bana Mzee wa pinick signing...Tunategemea pinick signing pale Barcelona baada ya kutundikwa magoli mengine manne jumatano wiki hii Bernabéu
So wewe ndo mwenye right yakufosi kumuongelea penaldoMi naongelea Ronaldo, usinifosi kuongelea Messi!!
Na Sergi Roberto nae anafikiria kuondoka baada ya Paulinho kusajiliwa release clause yake ni € 40m na tayari Chelsea,Juventus,AC Milan,Manchester United wameonyesha nia kumtaka
Kwani tumewafunga mara ngapi ndani huu mwaka alone?did you disappear?
Yaani unaweza kusema kuna mpango wa kuiua barca chini kwa chini haiwekani wachezaji wenye future hawapewi kipaumbele. Kwa sasa sion long term plan ya kutawala soka kabisa.Na Sergi Roberto nae anafikiria kuondoka baada ya Paulinho kusajiliwa release clause yake ni € 40m na tayari Chelsea,Juventus,AC Milan,Manchester United wameonyesha nia kumtaka
Ndo usajili mbovu mkuu,sasa mkuu kama avarage player tumemrudisha pale kufanya nini tena
Paulinho na Fred ni dugu mojaSikushangai ,nimekwambia hii timu mbovu huwezi kumfunga Real Madrid ukasema mtashinda 5.All the best Paulinho anatambulishwa rasmi wiki hii
Ngoja wakusajilie Fred wewe,hawaeleweki hawaMm kama mshabiki wa Barcelona nimefrahi kufungwa, hii itawaumusha viongozi na timu kwa ujumla wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutamsajili fredHata aje Coutinho au Mbappe hawezi kucheza kama Neymar. Barca can still play Good, lakini kubomoka kwa MSN lazima mpitie kwenye changamoto. Hamuwezi kupata Trio kama ile kwa sasa
Siku ambayo Rosell anaingia madarakani ndio Barca ilikufa haya yanayoonekana sasa yalitegemewa ingawa baadhi ya mashabiki hawataki kukubali ukweliYaani unaweza kusema kuna mpango wa kuiua barca chini kwa chini haiwekani wachezaji wenye future hawapewi kipaumbele. Kwa sasa sion long term plan ya kutawala soka kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app