FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tunategemea panick signing pale Barcelona baada ya kutundikwa magoli mengine manne jumatano wiki hii Bernabéu
 
06846418d049dd9ba09bda5a9df699cc.jpg

Huu uongoz sijui unawaza nini.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madrid be like Barcelona ndio waliomsababisha Ronaldo amsukume Refari akalimwa ban 5 matches[emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Madrid be like Barcelona ndio waliomsababisha Ronaldo amsukume Refari akalimwa ban 5 matches[emoji23][emoji23][emoji23]

Do you still have the gut to troll Real Madrid? Kweli we ni Barka kid. Mwenzio jacline hajulikani halipo
 
Na Sergi Roberto nae anafikiria kuondoka baada ya Paulinho kusajiliwa release clause yake ni € 40m na tayari Chelsea,Juventus,AC Milan,Manchester United wameonyesha nia kumtaka
Yaani unaweza kusema kuna mpango wa kuiua barca chini kwa chini haiwekani wachezaji wenye future hawapewi kipaumbele. Kwa sasa sion long term plan ya kutawala soka kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unaweza kusema kuna mpango wa kuiua barca chini kwa chini haiwekani wachezaji wenye future hawapewi kipaumbele. Kwa sasa sion long term plan ya kutawala soka kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ambayo Rosell anaingia madarakani ndio Barca ilikufa haya yanayoonekana sasa yalitegemewa ingawa baadhi ya mashabiki hawataki kukubali ukweli

1.Andreas Iniesta(one of the best graduate from La Masia) mkataba wake umebakiza miezi 9 kuisha management mpaka leo inazubaa kumuongezea mkataba

2.Busquet sio muongeaji lakini baada ya kipigo cha jana amesema lazima Barcelona isajili wachezaji wazuri

3.Velvede ni kocha mzuri lakini amekuja kufundisha Barca kwenye kipindi kibaya sana,wachezaji wengi ni average na bado wengine wachovu wanaletwa ile spine ya La Masia yote haipewi nafasi

4.El Classico ya jana ndio mechi iliyokuwa na mahudhurio madogo kuliko zote ndani ya miaka 10 iliyopita
 
Back
Top Bottom