FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

IMG-20170815-WA0010.jpeg
 
co paunyoka alikuwa totenham akawa flop mpaka akauzwa kwa €10 kwenda china yaaaaani tunamwacha seri tunamchukua hilo zee tena kwa €40 daaaaahhhhh mamaeee zako Rossel
Kenchi type sana huu uongozi wa Barca...kuna watu kibao tu Jean Michael Seri yuko poa balaa, Yeri Mina, Martinez, usiseme....halafu wanachukua hilo....WAMENIKELA SAANA HAWA. NAOMBA KESHO TUFUNGWE TU TENA YAANI ILI IWE FUNDISHO DAADEKI....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Match ya leo
Iniesta hatukuwepo amepata muscle discomfort
Umtiti naye hayupo kwenye kikosi
 
Screenshot_2017-08-15-19-00-59-1.png

Habari kutoka kwenye source moja ya gazeti zinasema katika jitihada zakumzuia Neymar asiondoke Barcelona Messi alimuuliza unataka nini?unataka Balĺ On Dor?nitakufanya wewe ushinde Ball On Dor
[HASHTAG]#Legend[/HASHTAG] Messi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Barcelona sajili zenu sizielewi siku hizi paulinho hana vigezo stahiki vya kuchezea Team yenu.. Tuache kupiga ramli

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
WHO OWNS EL CLASICO? BARCA OR MADRID?

[HASHTAG]#DKA[/HASHTAG]

__________

LEAGUE MATCHES EL CLASICO

Real Madrid wins - 72 (52 wins at home)
Draws - 2
Barcelona wins - 100 (60 wins at home)
Real Madrid goals - 283
Barcelona goals - 277
Total matches - 174
_____

COPA DEL REY EL CLASICO

Real Madrid wins - 12 (5 wins at home)
Draws - 7
Barcelona wins - 14 (7 wins at home)
Real Madrid goals - 64
Barcelona goals - 63
Total matches - 33
_____

LEAGUE CUP EL CLASICO

Real Madrid wins - 0 (0 wins at home)
Draws - 4
Barcelona wins - 2 (1 win at home)
Real Madrid goals - 8
Barcelona goals - 13
Total matches - 6
_____

SPANISH SUPER CUP EL CLASICO

Real Madrid wins - 5 (5 wins at home)
Draws - 2
Barcelona wins - 6 (4 wins at home)
Real Madrid goals - 28
Barcelona goals - 18
Total matches - 13
_____

UCL EL CLASICO

Real Madrid wins - 3 (1 win at home)
Draws - 3
Barcelona wins - 2 (1 win at home)
Real Madrid goals - 13
Barcelona goals - 10
Total matches - 8
_____

SUMMARY OF ALL COMPETITIVE MATCHES

Real Madrid wins - 94
Draws - 49
Barcelona wins - 91
Real Madrid goals - 396
Barcelona goals - 381
Total matches - 234
_____

FRIENDLY MATCHES EL CLASICO

Real Madrid wins - 4
Draws - 10
Barcelona wins - 20
Real Madrid goals - 44
Barcelona goals - 86
Total matches - 34
_____

OVERALL EL CLASICO MATCHES
[HASHTAG]#DKA[/HASHTAG]
Real Madrid wins - 97
Draws - 59
Barcelona wins - 111
Real Madrid goals - 437
Barcelona goals - 466
Total matches - 267
__________

CR7 vs MESSI IN EL CLASICO

CR7 matches played = 27
CR7 goals scored at Bernabeu = 6
CR7 goals scored at Camp Nou = 11
Total = 17
___

Messi matches played = 34
Messi goals scored at Bernabeu = 14
Messi goals scored at Camp Nou = 10
Total = 24
__________

SPANISH SUPER CUP 2017 SECOND LEG

BERNABEU: Real Madrid vs Barcelona
 
I know how it feels but, naomba tufungwe tena mechi ya leo.

Impact yake kwenye usajili itakua kubwa sana.
Itakua ni temporary defeat, for a long run victory!


- KANA -
 
Kila siku tunadanganywa ijumaa ijumaa na hakuna jipya barca mnatuzingua
 
Kila siku tunadanganywa ijumaa ijumaa na hakuna jipya barca mnatuzingua
Kweli kabisa wanazingua tena ni zaidi ya kutuzingua asee. Ngoja msimu huu tukose kikombe hata kimoja na tusi qualify kucheza UCL mwakani labda akili ya kusajili wachezaji wa maana itakuja. Mwanzo uongozi ulikuwa unasingizia ukata eti hadi wakiuza wachezaji ndiyo wasajili, lakini kwa sasa pesa iko benki tena yakutosha lakini suala la kusajili limekuwa wimbo wa taifa. Mbaya zaidi hata chipukizi toka Lamasia academy hawapewi nafasi ya kucheza na badala yake wanapelekwa kwingine aidha kwa mkopo au kuuzwa, sasa hapo watu wakisema kuwa kuna mpango wa kuiua Barcelona unaanzaje kukataa?.

Ngoja Leo tushushiwe kipigo cha mpwa mwizi ili iwe fundisho....

"Life+time"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bartromeu out vinginevyo nimsiba mkubwa kwetu kicheko kwa losblancos. unamsajili paulinho unamuacha serri, Unataka kumuuuza sergio roberto unumunue ivan perisic hv batroomeu ana akili kweli?
Kigezo anacheza tym ya taifa? Usajili wa deufeoulou ni wa kipuuuuzi sana na haufai? au ndo tym imefilisika? kwani miaka yote tunategemea mpaka tuuuze wachezaji ndo tusajili? Chelsea,Man u , Real madrid vip zinajiendeshaje?
 
Back
Top Bottom