Yaaani wewe kama ni demu unaweza kuwa unapigwa mtungo
Huyu jamaa sijui wa wapi hata hajielewagiSubirini Bernabéu mje mpigwe mtungo. Pique saa hizi chupi ishalowa, yule dogo Asensio sio wa mchezo mchezo
Kenchi type sana huu uongozi wa Barca...kuna watu kibao tu Jean Michael Seri yuko poa balaa, Yeri Mina, Martinez, usiseme....halafu wanachukua hilo....WAMENIKELA SAANA HAWA. NAOMBA KESHO TUFUNGWE TU TENA YAANI ILI IWE FUNDISHO DAADEKI....co paunyoka alikuwa totenham akawa flop mpaka akauzwa kwa €10 kwenda china yaaaaani tunamwacha seri tunamchukua hilo zee tena kwa €40 daaaaahhhhh mamaeee zako Rossel
kwa umtiti hapo ni tatzoMatch ya leo
Iniesta hatukuwepo amepata muscle discomfort
Umtiti naye hayupo kwenye kikosi
Usipaniki jamaa, huyu pulinho ndiye atakaefunga goli la kusawazisha dhidi ya Sociedad siku ya mwisho litakalo waokoa msishuke daraja.bodi inasajili wachezaji iwatakao tunamtaka seri+inigo tunaletewa paunyoko. bora tushuke daraja tuuu kwa ungese huu tucheze segunda division
Yeah nami naomba iwe hivyo. Maana uongozi wa Barca unaleta masihara ndani ya jumba la sanaa...I know how it feels but, naomba tufungwe tena mechi ya leo.
Impact yake kwenye usajili itakua kubwa sana.
Itakua ni temporary defeat, for a long run victory!
- KANA -
Yeah nami naomba iwe hivyo. Maana uongozi wa Barca unaleta masihara ndani ya jumba la sanaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa wanazingua tena ni zaidi ya kutuzingua asee. Ngoja msimu huu tukose kikombe hata kimoja na tusi qualify kucheza UCL mwakani labda akili ya kusajili wachezaji wa maana itakuja. Mwanzo uongozi ulikuwa unasingizia ukata eti hadi wakiuza wachezaji ndiyo wasajili, lakini kwa sasa pesa iko benki tena yakutosha lakini suala la kusajili limekuwa wimbo wa taifa. Mbaya zaidi hata chipukizi toka Lamasia academy hawapewi nafasi ya kucheza na badala yake wanapelekwa kwingine aidha kwa mkopo au kuuzwa, sasa hapo watu wakisema kuwa kuna mpango wa kuiua Barcelona unaanzaje kukataa?.Kila siku tunadanganywa ijumaa ijumaa na hakuna jipya barca mnatuzingua