FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii team yetu utafikiri kikosi B asee huyu Umtiti hakupaswa hata kufanya mazoezi na team kama barca hana hadhi ya kua barca huyu barcelona imekua team ya hovyo na haijawahi tokea in lissu's voice tuliuza akina alcantara leo akina iniesta wanaanzia bench poorbarca

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huku mbele inabidi tukufanyie surgical operations aisee ,midfield hamna inayo press hata kidogo ,kocha you have to do something, Team mbovu kama Madrid haiwezi ikatufunga mara mbili mfululizo
 
MD yenye Gomes haitakuja kupress kamwe.
 
Kocha do the needful mtoe Messi nje anatiwa sana aibu na team nzima
The way the team is playing am not satisfied yaani hata kwenye preseason Barca walikua wanacheza vizuri kwanini wachezaji hawana motivation? ???
 
Hii team yetu utafikiri kikosi B asee huyu Umtiti hakupaswa hata kufanya mazoezi na team kama barca hana hadhi ya kua barca huyu barcelona imekua team ya hovyo na haijawahi tokea in lissu's voice tuliuza akina alcantara leo akina iniesta wanaanzia bench poorbarca

Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe sijui umetoka wapi.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kocha do the needful mtoe Messi nje anatiwa sana aibu na team nzima
The way the team is playing am not satisfied yaani hata kwenye preseason Barca walikua wanacheza vizuri kwanini wachezaji hawana motivation? ???
Toa Gomes. Weka Roberto kati na Semedo apige jama Wing back. Timu imecheza kipumbavu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huku mbele inabidi tukufanyie surgical operations aisee ,midfield hamna inayo press hata kidogo ,kocha you have to do something, Team mbovu kama Madrid haiwezi ikatufunga mara mbili mfululizo
Pole sana. Unasema Valverde ameingia kwenye akili yako mara fake RB mara Suarez amekuwa mzito mara Ter Stergen amekuwa mzito sijui nini huku..
Badala ya kucheza mnamuwaza Neymar.. na mwaka huu Madrid atawapiga venye wanataka. Namshukuru kipigo cha leo ndio kitahakikisha ujio wa Coutinho.. Coutinho huko alipo nadhani anaomba sana mpigwe ili malengo yake yatimie.

Nikiiangalia Barca 3 years to come aisee itakuwa na historia tu. Tuombe uzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom