FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

(1)hakuna pengo la Neymar <br />(2)what a comeback <br />(3)Barcelona hufanya vizuri sana Santiago <br />(4)kocha wetu anajua mfumo wa barca ni zao letu<br />Ah kauli nyingine za kujifariji nikizikumbuka nitarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana. Unasema Valverde ameingia kwenye akili yako mara fake RB mara Suarez amekuwa mzito mara Ter Stergen amekuwa mzito sijui nini huku..
Badala ya kucheza mnamuwaza Neymar.. na mwaka huu Madrid atawapiga venye wanataka. Namshukuru kipigo cha leo ndio kitahakikisha ujio wa Coutinho.. Coutinho huko alipo nadhani anaomba sana mpigwe ili malengo yake yatimie.

Nikiiangalia Barca 3 years to come aisee itakuwa na historia tu. Tuombe uzima

Sent using Jamii Forums mobile app
We acha hizo we umeijua Barca baada ya kuja Neymar?utaipenda vipi Barca wakati sio team yako babu
 
Barcelona is finished..! kila chenye mwanzo kina mwisho wake na huu ndio mwisho wa Barca......bora muhamie Atletico Madrid inaweza kutoa ushindani kidogo kwa Madrid
 
Msimu hata bado hatujaanza tuna muda we can do reconciliation
Tutaingia kwenye season na Psychology tofauti kabisa kama mnakumbuka preseason last year tulipigwa 4 bila
Hii results implies something
Kumbe hii mechi ya leo ni preseason? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kubali tu kwa sasa hakuna timu hapa na bila kusajiri kuna makubwa yanakuja mbele yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wachanga sana kwenye mpira yaani inakuaje unaitaja Barca then Neymar wakati hata kwenye ma legend 100 wa Barca hayupo,kama mlikua mnamtaka yuko free PSG mchukueni
I love Barca no matter what
 
Velverde inabidi afanye something ,yaani hadi beki ya Madrid inaenda likizo?
 
Mbona kama siamini??

Yaani barca imekua mdebedo kiasi hiki??

Mpira mbovu, no vision kabisa yani mpo uwanjani sababu ratiba inasema hivyo!!

Mpaka sasa tano bila.... hapo isco na bale hawajaingia!!
 
Back
Top Bottom