We acha hizo we umeijua Barca baada ya kuja Neymar?utaipenda vipi Barca wakati sio team yako babuPole sana. Unasema Valverde ameingia kwenye akili yako mara fake RB mara Suarez amekuwa mzito mara Ter Stergen amekuwa mzito sijui nini huku..
Badala ya kucheza mnamuwaza Neymar.. na mwaka huu Madrid atawapiga venye wanataka. Namshukuru kipigo cha leo ndio kitahakikisha ujio wa Coutinho.. Coutinho huko alipo nadhani anaomba sana mpigwe ili malengo yake yatimie.
Nikiiangalia Barca 3 years to come aisee itakuwa na historia tu. Tuombe uzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hii mechi ya leo ni preseason? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msimu hata bado hatujaanza tuna muda we can do reconciliation
Tutaingia kwenye season na Psychology tofauti kabisa kama mnakumbuka preseason last year tulipigwa 4 bila
Hii results implies something
Supercup ni preseason kwetuKumbe hii mechi ya leo ni preseason? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kubali tu kwa sasa hakuna timu hapa na bila kusajiri kuna makubwa yanakuja mbele yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile mechi Semedo angeanza kote huku tusingefika.Kumbe Marcelo akikabidhiwa Semedo anamtosha sana
Pambaneni na hali yenu.We acha hizo we umeijua Barca baada ya kuja Neymar?utaipenda vipi Barca wakati sio team yako babu
Acheni kujipa moyo!!Supercup ni preseason kwetu
Barca imeshakuwa timu ya "wahenga"!golini hakuna kipa ila taulo
Sure ,Ramos bila uhuni hatapata mshahara pale Bernabeu mchezaji muhuni kama jambazi msela nondoIle mechi Semedo angeanza kote huku tusingefika.
😛 😛 😛 They killed you already 😛 😛 😛Come on guys...!!we kill them
Naona unashangilia kombe la glass😛 [emoji14] [emoji14] They killed you already [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Pogba wa tz nchi imekushinda!