FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Madrid hiko ndicho kikombe chenu cha mwisho mwaka huu mkae mkijua
Hamtakiona kikombe chochote hadi 2020
 
Kuna watu wachanga sana kwenye mpira yaani inakuaje unaitaja Barca then Neymar wakati hata kwenye ma legend 100 wa Barca hayupo,kama mlikua mnamtaka yuko free PSG mchukueni
I love Barca no matter what
Sema yote,ila Barca inamiss kitu kimoja tu nacho kinaitwa Neymar...
Msimu huu mtapigwa kama MBWA..!
 
Nakuunga mkono kabisa. Gomes bado mzito
Hawezi fiti kwenye mfumo wetu. Huyu Deu ni mara mia ya Dennis. Wahakikishe Dembele na Coutunho wanakuja. Na haya matokeo lazima yawape pressure na kupunguza ubahili.
 
Poleni wakuu..me ni shabiki wa UNITED na MADRID ila kitendo cha RAMOS alichomfanyia MESSI ni UTOTO wa Kijinga..sijapenda kabisa yan.

Sent using Jamii Forums mobile app

La Liga kuna upendeleo na kuogopana, kuna vitu vinafanywa uwanjani hadi unashangaa. Jambo kama hilo la Ramos haliwezi kutokea kwenye Epl, au jambo kama la CR7 kukebehi adhabu aliyopewa haliwezi kutokea kwenye Epl.
Uku wanabebana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…