FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Madrid hiko ndicho kikombe chenu cha mwisho mwaka huu mkae mkijua
Hamtakiona kikombe chochote hadi 2020
 
Kuna watu wachanga sana kwenye mpira yaani inakuaje unaitaja Barca then Neymar wakati hata kwenye ma legend 100 wa Barca hayupo,kama mlikua mnamtaka yuko free PSG mchukueni
I love Barca no matter what
Sema yote,ila Barca inamiss kitu kimoja tu nacho kinaitwa Neymar...
Msimu huu mtapigwa kama MBWA..!
 
Galasa Aleix Vidal nilisikia wanamuhitaji AS Roma huu ndio muda wakutimua ,about Gomes Paulinho anakuja so muda wakusepa ili S Roberto na Carlos Arena apate muda mwingi wakucheza kumbuka Samper anaenda kwa mkopo kwa ajili yako ,Delouf jiandae next season urudishwe kwenye mkopo
Suarez na Terstegen wakate uzito gym
Two signing of key players left and right to drop the bomb this week
Team yetu ni kubwa hatujazoea unyonge
We gonna come back so soon
Nakuunga mkono kabisa. Gomes bado mzito
Hawezi fiti kwenye mfumo wetu. Huyu Deu ni mara mia ya Dennis. Wahakikishe Dembele na Coutunho wanakuja. Na haya matokeo lazima yawape pressure na kupunguza ubahili.
 
Poleni wakuu..me ni shabiki wa UNITED na MADRID ila kitendo cha RAMOS alichomfanyia MESSI ni UTOTO wa Kijinga..sijapenda kabisa yan.

Sent using Jamii Forums mobile app

La Liga kuna upendeleo na kuogopana, kuna vitu vinafanywa uwanjani hadi unashangaa. Jambo kama hilo la Ramos haliwezi kutokea kwenye Epl, au jambo kama la CR7 kukebehi adhabu aliyopewa haliwezi kutokea kwenye Epl.
Uku wanabebana sana.
 
Kama kifaranga kamwagiwa ya baridi....
434F565F00000578-4796972-image-a-19_1502920275575.jpg
 
Back
Top Bottom