Ukisikia safari ndio hiyo sasa. Huwezi kila safari wewe ni mteremko tu.Team inapitia muda mgumu sana no replacements (subs),no midfield na bado contracting (usajili) unasua ngoja tusubirie this week
We hauna jipya zaidi ya kutaja majina-low keyUkisikia safari ndio hiyo sasa. Huwezi kila safari wewe ni mteremko tu.
Mbadala wa Neymar ni Referee tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wake wa kufikiria umeishia paleSergio Ramos ni mpuuzi sana....unamfanyiaje vile mchezaji bora wa dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa mechi ya kawaida mgeshinda lakini Kombe weka Mbali na Madrid hata wakiwa 9 uwanjani mtafungwa tuAya mkuu mapito ipende team yako kama kawaida , we unajua tangu Rossel aende jela hadi management imekua changamoto ,Messi tunamtesa sana pale katikati hadi namuonea huruma
Usajili nankuuza wachezaji kwa ajabu ajabu ,halafu hao wenzetu hawajazoea kutufunga ndio maana hatunywi maji
Messi ni mchezaji bora wa dunia ipi? Mchezaji bora anajulikana na haina mjadala,Mchezaji bora gani hana impact?Sergio Ramos ni mpuuzi sana....unamfanyiaje vile mchezaji bora wa dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapuuzi pekee watakaokubaliana na weweMessi ni mchezaji bora wa dunia ipi? Mchezaji bora anajulikana na haina mjadala,Mchezaji bora gani hana impact?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona leo unakiri waziwazi,huko nyuma ulikuwa ukiambiwa unabishaTeam inapitia muda mgumu sana no replacements (subs),no midfield na bado contracting (usajili) unasua ngoja tusubirie this week
Jifariji msimu unaanza sundayIngekuwa mechi ya kawaida mgeshinda lakini Kombe weka Mbali na Madrid hata wakiwa 9 uwanjani mtafungwa tu
Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
Aya mkuu mapito ipende team yako kama kawaida , we unajua tangu Rossel aende jela hadi management imekua changamoto ,Messi tunamtesa sana pale katikati hadi namuonea huruma
Usajili nankuuza wachezaji kwa ajabu ajabu ,halafu hao wenzetu hawajazoea kutufunga ndio maana hatunywi maji
Niambie msimu uliopita na tulipo leo,huyo Messi wako kafanya kitu gani kuisaidia Barcelona? Mchango wake timu ya taifa ni chenga tuu mbio na kutajwatajwa jina lake,anaondoka hajwahi ibeba nchi yake kokote.Huyo anakuwaje mchezaji bora.Wa kwanza kupiga mluzi huhisi ndo anayejua kupiga mluzi kuliko wengine ili hali akijua wenzake hata hwajafikiria kupiga mluzi.Ukisema wapuuzi ndo watakubaliana na mimi ,je,haiwezekani wewe ukawa ndo una upuuzi wa kiwango cha lami?Ni wapuuzi pekee watakaokubaliana na wewe
Kombe la mfalmeNiambie msimu uliopita na tulipo leo,huyo Messi wako kafanya kitu gani kuisaidia Barcelona? Mchango wake timu ya taifa ni chenga tuu mbio na kutajwatajwa jina lake,anaondoka hajwahi ibeba nchi yake kokote.Huyo anakuwaje mchezaji bora.Wa kwanza kupiga mluzi huhisi ndo anayejua kupiga mluzi kuliko wengine ili hali akijua wenzake hata hwajafikiria kupiga mluzi.Ukisema wapuuzi ndo watakubaliana na mimi ,je,haiwezekani wewe ukawa ndo una upuuzi wa kiwango cha lami?
Wanasema Pogba wa TZ nchi imemshinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu bado tuna kipa imara sana, Marc-Andre ter Stegen alikuwa anamkarisha bench Bravo, mpaka Luis Enrique alipokuwa anaulizwa kipa namba moja wako ni nani akajibu hadi sasa hajapata kipa namba moja atakayekuwa anakaa golini mda wote maana makipa wake wote wawili ni wazuri na nina uhakika Enrique hawezi kumuuzia Guardiola kipa wake mzuri kuliko wote hata kama ni marafiki
View attachment 386617kwa Bravo Barcelona tumefanya kosa kubwa sana kwani huyu ni golikipa mzur saaana
Tunamtakia maisha mema kwa timu yake mpya ya Manchester City
Kombe la mfalme si kombe la kujisifia sana maana hadhi yake inaishia ndani ya Hispania hata timu ndogo huchukua, ni sawa na kombe la tff ambalo Simba amechukua msimu uliopita,pichichi ni tuzo binafsi haina msaada kwa timu hata Tambwe alichukua mfungaji bora akiwa Simba ambayo haijatwaa kombe la ligi kuu miaka kadhaa sasa.Hata hivyo,Ronaldo ashatwaa pichichi mara kadhaa,na bado last season amekuwa mfungaji bora Uefa na Madrid ikachukua ubingwa mara mbili mfululizo.Mafanikio siyo kucheza fainali na kufungwa,mafanikio ni kutwaa ubingwa,Arsenal alicheza fainali ya uefa 2006 akafungwa hatuwezi kumtaja kama aliyefanikiwa tukiwa tunataja continental footbal,Euro siyo michuano rahisi,kama ingekuwa rahisi mabingwa wake wangekuwa wanafungwa kombe la dunia,Germany na Spain walikuwa mabingwa Euro na wakachukua kombe la dunia.Messi ana mafanikio ya peke yake tuu.Hiyo pichichi aliyochukua haikuwa na faida kwa Barcelona.Ukitaka kukataa we kataa tuu lakini dunia ya leo tunaenda na fact.Mpira siyo,chenga twawala ,ni ushindi na kubeba makombe.Kombe la mfalme
Pichichi kachukua.
Kuhusu timu ya taifa.
Kacheza fainali ya kombe la dunia na huko kwao america kusini.
Huyo Ronaldo wako fainali ya kombe la dunia hata harufu yake hajawahi kuisikia.....kombe la ulaya jepesi tu hata ugiriki washawahi kutwaa....BTW messi ashawahi kuwa bingwa wa dunia kwa vijana.
Barca ya sasa ni nyepesi sana hasa kwenye kiungo, kiungo makini cha barca kilikua kinasaidia kuficha madhaifu ya kipa wenu mie namwita bamia...ila mwaka huu mtashangaa.BINAFSI SIWEZI MLAUMU KOCHA ILA MTU WA KWANZA KUANZA KUIUA BARCELONA NI KOCHA LUIS ENRIQUE yule anaonekana ni madrista na kosa la kwanza alilolifanya ni kumfanya XAVI aondoke na hapo ndipo Barca TULIPOANZA KUYUMBA hatimaye akataka awe juu ya MESSI na bila MESSI kuja juu alikuwa anataka kumtawala na MESSI et KING aanzie benchi
Kama haitoshi akaja kumuuza Bravo akampenda yule shati daaaah ILINIKERA SANA na ndio sababu Mashabiki hawamtaki Raisi sababu inaonekana lake ni moja eti Digne Mathiew Andre Gomes Aleix Vidal kwa kumuacha Dani Alves daaaah ENRIQUE ULAANIWE maana wewe umeua La Masia na yuko wapi Halilovic Affelay Tello Batra Donguo woote umewatoa kwa mkopo na kuwauza
ILA PAMOJA NA YOTE BARCA TUTAFANYA VIZUR SANA KWANI HATA MIAKA MIWILI ILIYOPITA TULIPIGWA NA BILBAO 4 super cup na wapuuzi wakasema ni mwisho wa Barca ila tukaendela kugawa kichapo
Wanajisahaulisha Messi alishashinda olympic World Cup kitambo sana 2008 hukoKombe la mfalme
Pichichi kachukua.
Kuhusu timu ya taifa.
Kacheza fainali ya kombe la dunia na huko kwao america kusini.
Huyo Ronaldo wako fainali ya kombe la dunia hata harufu yake hajawahi kuisikia.....kombe la ulaya jepesi tu hata ugiriki washawahi kutwaa....BTW messi ashawahi kuwa bingwa wa dunia kwa vijana.
Barcelona sio lelemama na kufungwa hatujaanza leo hivyo hilo ni dua la kukuBarca ya sasa ni nyepesi sana hasa kwenye kiungo, kiungo makini cha barca kilikua kinasaidia kuficha madhaifu ya kipa wenu mie namwita bamia...ila mwaka huu mtashangaa.
Olympic haina kombe ndugu yangu,ni medali tuu,na asilimia kubwa wanacheza watoto.Hata Nigeria alichukua 1996,siyo mafanikio yenye mashiko ndugu yangu.Wanajisahaulisha Messi alishashinda olympic World Cup kitambo sana 2008 huko
Huyo unamtaja amewahi hata kucheza fainali?Olympic haina kombe ndugu yangu,ni medali tuu,na asilimia kubwa wanacheza watoto.Hata Nigeria alichukua 1996,siyo mafanikio yenye mashiko ndugu yangu.
Eti Pogba wa Tz nchi imemshinda?
Sent using Jamii Forums mobile app