PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Wewe mwekundu naona unatupigia makelele yako tu humu.
Mechi tumefunga, tumegongwa nje na ndani, kombe limebebwa wewe bado unajifanya kichwa ngumu...
Hutaki kukubali kuwa pengo la Neymar halitazibika...
Kubabake kama unaendelea kuleta unafiki wako humu tutamuambia Admin aku remove.
Acha Ujinga. Tumefungwa. Na mwaka huu sioni dalili ya kombe lolote kuja Camp Nou.
Man huyo mwekundu kama upo karibu nae mpe makofi tu