FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kumbe Mess mpaka sasa bado hajasaini mkataba mpya na Barca
4b1d635ec86ed9440e434d0ce4c4739a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ila preliminary na verbal agreement yalishafikiwa tayari mwezi July mwanzoni
 
Not a single Paulinho shirt was sold at Camp Nou today, despite his Barcelona unveiling
Not a single request...

G.O.M.D
 
Pale ambapo Messi alikuwa anaibeba Barca mgongoni kwa Mbeleko Neymar.....Mbeleko imesepa Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

____________
 
Julian Draxler inasemekana amewekwa kwenye options za Barca ,management wanatakiwa wanunue tu wachezaji ambao ni potential na kuwauza hawa scrapers akina Andres Gomez,Paco Alcacer ,Arda Turan
Young players wote waachwe
Kwa umri wa Draxler na potential zake anafaa (alikua player bora World cup international champions)
Yeri Mina anatufaa sana kwa umri wake na potential zake katikati
We need to buy 4-5 players na ku scrap hizo ila kigezo kiwe umri mdogo na ball possession
 
Screenshot_2017-08-18-08-18-26-1.png

Huyu hapa fundi mimi kama scout wa Barcelona anatufaa sana ana dribble,speed ,score a distance ,ana stamina na passing
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom