Wewe mwekundu naona unatupigia makelele yako tu humu.
Mechi tumefunga, tumegongwa nje na ndani, kombe limebebwa wewe bado unajifanya kichwa ngumu...
Hutaki kukubali kuwa pengo la Neymar halitazibika...
Kubabake kama unaendelea kuleta unafiki wako humu tutamuambia Admin aku remove.
Acha Ujinga. Tumefungwa. Na mwaka huu sioni dalili ya kombe lolote kuja Camp Nou.
Acha upumbavu wa kuita wehu...wewe ..babako....mamako na ndugu zako ndo wehuWewe mwehu...
Kwahiyo kisa Neymar amejiunga na Barca misimu mitatu iliyopita ndio kusema pengo lake lisizungumziwe..!?
Usiwe na akili kama mamako basiKama Neymar ameenda PSG
Basi Messi aende Zimbabwe tu [emoji23]maana Barcelona kama kwa Mkolomije
Ina maana barcelona messi ana kauli kuliko kocha?BINAFSI SIWEZI MLAUMU KOCHA ILA MTU WA KWANZA KUANZA KUIUA BARCELONA NI KOCHA LUIS ENRIQUE yule anaonekana ni madrista na kosa la kwanza alilolifanya ni kumfanya XAVI aondoke na hapo ndipo Barca TULIPOANZA KUYUMBA hatimaye akataka awe juu ya MESSI na bila MESSI kuja juu alikuwa anataka kumtawala na MESSI et KING aanzie benchi
Mimi ni shabiki wa Barca,maneno yako machungu ila ndio hali halisi.Mashabiki wa Barca wana nichekesha sana hawataki kukubali kua wamepoteza direction kwa sasa na hakika chombo kinaelekea kuzama.
Barca imeondoka kwenye falsafa zake zile za kuiamini La Masia wanawaza kuziba mapengo kwa kusajili hawa wapenda pesa ambao hawawezi kufia timu tena leo hii wanashangilia Coutinho kuja kumsaidia Iniesta wanasahau wanawapora Liva ipo siku itawekwa pesa ndefu atawakimbia na hawana muda wa kuwazalisha akina Dembele wao wanataka ready made players hawa wakuja hawafundishwi kua Barca ndio kila kitu kwao kama ambavyo Messi,Pique,Iniesta,Xavi and the like wanavyo amini mfano ni Neymar tu maana Barca waliamini mwehu mmoja alietengenezwa Brazil anaweza kua Messi wao baadae leo hadithi imebaki tu,wale wenzao wamezoea kutawala soko miaka yote wanapenda kufuru za sokoni ingawa nao wamepoa kidogo naamini Barca wanatakiwa kuurudia utamaduni wao tofauti na hapo safari ya kurudi nyuma inawahusu
Hahaa, Next joke please!Bora Messi angeondoka kuliko Neymar.