FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Not a single Paulinho shirt was sold at Camp Nou today, despite his Barcelona unveiling
Not a single request...

G.O.M.D
 
Pale ambapo Messi alikuwa anaibeba Barca mgongoni kwa Mbeleko Neymar.....Mbeleko imesepa Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

____________
 
Julian Draxler inasemekana amewekwa kwenye options za Barca ,management wanatakiwa wanunue tu wachezaji ambao ni potential na kuwauza hawa scrapers akina Andres Gomez,Paco Alcacer ,Arda Turan
Young players wote waachwe
Kwa umri wa Draxler na potential zake anafaa (alikua player bora World cup international champions)
Yeri Mina anatufaa sana kwa umri wake na potential zake katikati
We need to buy 4-5 players na ku scrap hizo ila kigezo kiwe umri mdogo na ball possession
 

Huyu hapa fundi mimi kama scout wa Barcelona anatufaa sana ana dribble,speed ,score a distance ,ana stamina na passing
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…