A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Jean seri atatufaa sana
Yeah! Itakuwa powa ni mchezaji wa kaliba ya Xavi. Dogo yuko powa, kama ningekuwa Mimi ningemaliza usajili wake faster pamoja na wa Dembele kwani BVB walishakubali 100m + bonus toka wiki iliyopita so kwangu bonus isingekuwa kizingiti hata kidogo maana Dogo pia yuko poa yaani...Yeri Mina tayari ingawa kutua hadi January...Jean seri atatufaa sana
Yeri mina ndyo nan?Yeah! Itakuwa powa ni mchezaji wa kaliba ya Xavi. Dogo yuko powa, kama ningekuwa Mimi ningemaliza usajili wake faster pamoja na wa Dembele kwani BVB walishakubali 100m + bonus toka wiki iliyopita so kwangu bonus isingekuwa kizingiti hata kidogo maana Dogo pia yuko poa yaani...Yeri Mina tayari ingawa kutua hadi January...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeri mina ndyo nan?
Safi kabisa mkuu hata ndani ya nyumba haiwezekani mke au mume ampende mwenzake wakati yuko tu na afya ,mzima au yuko well of mfukoniHiki Ndio kipindi murua kuwatambua wale mashabiki waliovamia Barca kwa mbio za mwenge na wale mashabiki kindakindaki
Sent From My Nokia Ya Tochi
Ikitoka kulaumiwa board ya barca lazma ufuatie ww maana ulikuwa unatudanga na habari zako Za FB kwamba weekend tuna shusha vifaa kumbe hakuna ni uongo mtupuBwakuu msimu huu currently tona kikosi kibovu kuliko mwaka jana. Tuna mamediocre wengi sana. Nafikiri pamoja na kununua inabidi tuuze sana. Kuna watu hawatufai kabisa hata kwenye benchi letu.
Mkuu umenifananisha na mwekundu 🙂🙂. Alituaminisha kuwa a a inside info kuwa usajili upo mwishonimwishoni. Bila shaka naye alidanganywa na bodi.Ikitoka kulaumiwa board ya barca lazma ufuatie ww maana ulikuwa unatudanga na habari zako Za FB kwamba weekend tuna shusha vifaa kumbe hakuna ni uongo mtupu
Alicheza jana barca BCalles allena leo hayupo uwanjani sijui uzoefu huyu mlinzi wa iniesta ataupata wapi?
Hayo maneno yako yameshakuwa kama taarabu unayaimba sana lakn hmna jipyaMkuu transfer window bado sana 10 days zinatosha sana
We are winding up vifaa vitatu before 31st August
HII match leo tunaomba tu win,uchungu wa Barca ni mkubwa kuliko wa kwenda labourHuu mwaka tunachukua vikombe vyote vikubwa, mark my words and this comment
Mankumbuka kipindi Bayern walitupiga 7-0 agrigate? Watu wote walichonga oh Barca kwishney, blablaa kibao, msimu uliofuata tukaonda na treble
Mashabiki wa Barca msife moyo, najua inauma kufungwa na Madrid mechi mbili mfululizo ndani ya wiki moja lakini haya machungu Madrid wameugulia katika kipindi cha miaka tisa