FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

62ee3d5555cb0bfc869a6b1bca924387.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jean seri atatufaa sana
Yeah! Itakuwa powa ni mchezaji wa kaliba ya Xavi. Dogo yuko powa, kama ningekuwa Mimi ningemaliza usajili wake faster pamoja na wa Dembele kwani BVB walishakubali 100m + bonus toka wiki iliyopita so kwangu bonus isingekuwa kizingiti hata kidogo maana Dogo pia yuko poa yaani...Yeri Mina tayari ingawa kutua hadi January...

Yeri mina ndyo nan?
 
Yeri mina ndyo nan?
55dc7e90c34bcbb0d7d4d616408940d0.jpg

Yerry Fernando Mina González (born 23 September 1994) is a professional Colombian
footballer who plays as a center back for Brazilian club Palmeiras.

In his debut season in Palmeiras he made the 2016 Serie A TOTY and was named the best defender.

On 18 August 2017, Barcelona and Palmeiras agreed for the transfer of Mina for a fee of around €9 million, however he will remain at Palmeiras until January 2018.

Current team Palmeiras, Number 26.

Senior career
Years Team App
2013 Deportivo Pasto 1
2014–2016 Santa Fe 6
2016–2018 Palmeiras 2
2018– Barcelona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwakuu msimu huu currently tona kikosi kibovu kuliko mwaka jana. Tuna mamediocre wengi sana. Nafikiri pamoja na kununua inabidi tuuze sana. Kuna watu hawatufai kabisa hata kwenye benchi letu.
 
Hiki Ndio kipindi murua kuwatambua wale mashabiki waliovamia Barca kwa mbio za mwenge na wale mashabiki kindakindaki

Sent From My Nokia Ya Tochi
Safi kabisa mkuu hata ndani ya nyumba haiwezekani mke au mume ampende mwenzake wakati yuko tu na afya ,mzima au yuko well of mfukoni
 
Bwakuu msimu huu currently tona kikosi kibovu kuliko mwaka jana. Tuna mamediocre wengi sana. Nafikiri pamoja na kununua inabidi tuuze sana. Kuna watu hawatufai kabisa hata kwenye benchi letu.
Ikitoka kulaumiwa board ya barca lazma ufuatie ww maana ulikuwa unatudanga na habari zako Za FB kwamba weekend tuna shusha vifaa kumbe hakuna ni uongo mtupu
 
Ikitoka kulaumiwa board ya barca lazma ufuatie ww maana ulikuwa unatudanga na habari zako Za FB kwamba weekend tuna shusha vifaa kumbe hakuna ni uongo mtupu
Mkuu umenifananisha na mwekundu 🙂🙂. Alituaminisha kuwa a a inside info kuwa usajili upo mwishonimwishoni. Bila shaka naye alidanganywa na bodi.
 
Calles allena leo hayupo uwanjani sijui uzoefu huyu mlinzi wa iniesta ataupata wapi?
 
Mkuu umenifananisha na mwekundu 🙂🙂. Alituaminisha kuwa a a inside info kuwa usajili upo mwishonimwishoni. Bila shaka naye alidanganywa na bodi.
Mkuu transfer window bado sana 10 days zinatosha sana
We are winding up vifaa vitatu before 31st August
 
Huu mwaka tunachukua vikombe vyote vikubwa, mark my words and this comment

Mnakumbuka kipindi Bayern walitupiga 7-0 agrigate? Watu wote walichonga oh Barca kwishney, blablaa kibao, msimu uliofuata tukaonda na treble

Mashabiki wa Barca msife moyo, najua inauma kufungwa na Madrid mechi mbili mfululizo ndani ya wiki moja lakini haya machungu Madrid wameugulia katika kipindi cha miaka tisa
 
Huu mwaka tunachukua vikombe vyote vikubwa, mark my words and this comment

Mankumbuka kipindi Bayern walitupiga 7-0 agrigate? Watu wote walichonga oh Barca kwishney, blablaa kibao, msimu uliofuata tukaonda na treble

Mashabiki wa Barca msife moyo, najua inauma kufungwa na Madrid mechi mbili mfululizo ndani ya wiki moja lakini haya machungu Madrid wameugulia katika kipindi cha miaka tisa
HII match leo tunaomba tu win,uchungu wa Barca ni mkubwa kuliko wa kwenda labour
 
Back
Top Bottom