FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hapo umeongea vzri sio kma ulivyokuwaga unasema anakuja
 
Our need kabla hata Neyma hajaondoka ni attacking au kwa lugha nyingine offensive midfielder thats why coutinho ni top priority au ikishindikana Angel Dimaria ni option pia ila coutinho ana advantage yakucheza kama winger pia (left)
Dimaria simtaki mzee
 
Ratiba kuhusu mchezaji wetu mpya Ousamane Dembele:
atafika jiji la Barcelona jumapili na ata be unveiled jumatatu (watamtambulisha)
 
Liver wapuuzi sana wanaweka wakakaza ili kukomoa
Ni style za bargaining ili kuongeza dau la mchezaji they are typically capitalist na businessmen siwalaumu kwa hilo ,management kuchelewa ku initiate process za transfer wakati hata last season tuli succum ni weakness sana na imetu cost tukafikia hapo
Wale wazee wa Bartemeou out wanapata kitu cha kusema
 
Rais wetu uyo jau sana
Na humu ile movement ya mwekundu out umeniona?[emoji23]
 
Watu mamechoka hasa red Giant ndyo leader wa hyo movement
Nitakua naleta tu good news hii week kabla ya jumamosi ijayo

Luis Suarez amerejea mazoezini baada yakumaliza kwa muda mfupi sana mazoezi ya knee recovery kwenye sandpit (mazoezi ya kukumbia mchangani)

Yaani kama nilivyokadokeza huko nyuma jamaa anajitihada sana hata trainer wake hakutegemea so kesho atakuwepo kwenye pitch
Source😀ailyMail
 
Mkuu nimemuangia Dembele Dogo ni nyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…