sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Sure mkuu lakn coutinho atatoa rohoMimi scouting yetu naiaminia ila tatizo kwenye execute actions
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure mkuu lakn coutinho atatoa rohoMimi scouting yetu naiaminia ila tatizo kwenye execute actions
Nafsi imemsuta kuchezea luverpoolSure mkuu lakn coutinho atatoa roho
Team yake mchele mchele sanaNafsi imemsuta kuchezea luverpool
halafu umri pia miaka 20 ana ten years ya kuonyeesha kiwango chakrUngekuwa unafatilia Bundesliga league usingesema haya maneno.
Very potential kwenye hiyo age ndio maana ali force ahamie team kubwa kama Barcawamuweke release clause ya £1b vinginevyo ni mtukutu sana
halafu umri pia miaka 20 ana ten years ya kuonyeesha kiwango chakr
Kweli afungwe kwa pesa ndefu sana uyo dogoVery potential kwenye hiyo age ndio maana ali force ahamie team kubwa kama Barca
Vip mwekundu ila manji kaachiwa? jana ulitoa dokezo as bushlawyer.Hitaji la makodinda limetia about Dembele baadae nitamuongelea kutokana na clips zake ninazozifanyia kazi hapa na historia yake ;dokezo tumepata player anaye fit system
Ha ha ha mimi sipo kule hadi niangalie kwenye media tenaVip mwekundu ila manji kaachiwa
Hahaaaaa famfai wakuu, toka mmeaza kutoa habari za usajili hamsomeki sana. Just kidding mnajitahidWakuu SERGIO 5 na MWEKUNDU
Tunataka kugombea nafasi za usemaji wa BARCA kwa upande wa TZ vp wakuu tunafaa?
Jana mm ndyo nmetoka na usajiri wa Dembele mkuuHahaaaaa famfai wakuu, toka mmeaza kutoa habari za usajili hamsomeki sana. Just kidding mnajitahid
Lkn umethibitishwa mkuu? Naona kama bado tetesi hiviJana mm ndyo nmetoka na usajiri wa Dembele mkuu
Hyo ni DONE DEALLkn umethibitishwa mkuu? Naona kama bado tetesi hivi
Welcome ninja
deufelou benchi linamhusuWelcome ninja
Benchi pana mfaa sana uyodeufelou benchi linamhusu