FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Humu nasubiria kuzitangaza habari za Coutinho tu basi ndani ya masaa 48 yajayo ili nikamilishe ahadi
Kwa ufupi Liverpool wanaogopa Coutinho asije akaenda kwenye media akatangaza nia yake yakuihama team wanajitahidi kila njia kumzuia pia wanamshawishi na ushindi wao wakufuzu UEFA ila Cot nafsi imeshamsuta kuendelea pale tena
Barca wakiongozwa na technical director Robert Fernandez wameenda kumchukua unajua kwa nini?

Barcelona watatoa offer ambayo Liverpool waliitaka mwanzo £150M

Kwahiyo Coutinho its a matter of time tu tayari tumeshamuweka kwenye himaya

Habari za France ni kuwa Jean Seri amepatwa na stress ya mwaka mara baada ya Barcelona kufanya naye makubaliano ya mwanzo then wakamuacha kwenye mataa kwa sababu za kiufundi (technical problem) hii imesababisha hadi asicheze match inayofuata na team yake ya Nice (Usicheze na Barca wamemuacha kwenye mataa)

Scouts wamemwagwa Europe yote tunakamisha transfer
Mkuu cotinho akitua lazima tushinde kuwa maraisi wa barca
Tawi la Tz
 
This is so special kama fan mkaksi wa Barca Tz wamenitumia email tayari Barcelona
Screenshot_2017-08-25-19-14-16.png
 
Nasikia ataaanza kucheza tarehe 9 dhidi ya espanyol. Ila kesho dragon lord ndani ya nyumba. Mwaka huu tutakuwa wa moto balaa. Bado Coutinho. Na ilipofika Liver hawawezi kuendelea naye tena.
 
Ndyo tunataka kazi kazi
 
Humu nasubiria kuzitangaza habari za Coutinho tu basi ndani ya masaa 48 yajayo ili nikamilishe ahadi
Kwa ufupi Liverpool wanaogopa Coutinho asije akaenda kwenye media akatangaza nia yake yakuihama team wanajitahidi kila njia kumzuia pia wanamshawishi na ushindi wao wakufuzu UEFA ila Cot nafsi imeshamsuta kuendelea pale tena
Barca wakiongozwa na technical director Robert Fernandez wameenda kumchukua unajua kwa nini?

Barcelona watatoa offer ambayo Liverpool waliitaka mwanzo £150M

Kwahiyo Coutinho its a matter of time tu tayari tumeshamuweka kwenye himaya

Habari za France ni kuwa Jean Seri amepatwa na stress ya mwaka mara baada ya Barcelona kufanya naye makubaliano ya mwanzo then wakamuacha kwenye mataa kwa sababu za kiufundi (technical problem) hii imesababisha hadi asicheze match inayofuata na team yake ya Nice (Usicheze na Barca wamemuacha kwenye mataa)

Scouts wamemwagwa Europe yote tunakamisha transfer
Coutinhi yupo tayari kujiunga Barca ila liverpool wamemshikilia huyu mtoto. Nilisomaga hii habari Goal wiki zilizopita.
 
Back
Top Bottom