FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Kabisa KakaHilo litakuwa kosa kubwa sana
Coutinho akizingua watupe hata
Delle Alli tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa KakaHilo litakuwa kosa kubwa sana
Coutinho akizingua watupe hata
Delle Alli tu
Tunaomba game na madridi sahivi Mkuu"Barcelona's new trio is LSD (Lionel, Suarez and Dembele)"
Wamependekeza mfumo huu mpya uitwe LSD....
Kwakweli wamenirudishia tabasamu langu ingawa bado kidogo likamilike....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cotinho akitua lazima tushinde kuwa maraisi wa barcaHumu nasubiria kuzitangaza habari za Coutinho tu basi ndani ya masaa 48 yajayo ili nikamilishe ahadi
Kwa ufupi Liverpool wanaogopa Coutinho asije akaenda kwenye media akatangaza nia yake yakuihama team wanajitahidi kila njia kumzuia pia wanamshawishi na ushindi wao wakufuzu UEFA ila Cot nafsi imeshamsuta kuendelea pale tena
Barca wakiongozwa na technical director Robert Fernandez wameenda kumchukua unajua kwa nini?
Barcelona watatoa offer ambayo Liverpool waliitaka mwanzo £150M
Kwahiyo Coutinho its a matter of time tu tayari tumeshamuweka kwenye himaya
Habari za France ni kuwa Jean Seri amepatwa na stress ya mwaka mara baada ya Barcelona kufanya naye makubaliano ya mwanzo then wakamuacha kwenye mataa kwa sababu za kiufundi (technical problem) hii imesababisha hadi asicheze match inayofuata na team yake ya Nice (Usicheze na Barca wamemuacha kwenye mataa)
Scouts wamemwagwa Europe yote tunakamisha transfer
Kabisa, daah alikuwa anafanya kazi ya ziada munoTunaomba game na madridi sahivi Mkuu
Dah..naona messi amepunguza majukumu ya ku assist
Hii ni official instagram account ya FCB ina followers mil 51.nikiwapo na mimi wamesha post dakika 15 zilizopita
View attachment 574874
Ndio kama Bale sio?pambaneni kivyenuDogo mzuri ila sio kwa hela hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wajerumani wamewapiga bei
Akifika huyo tu mbona yatakuwa powa sana. Nafikiri hadi next week tutakuwa tumepata jibu kamili...Wapi Coutinho moyo wangu usuzike
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Ndyo tunataka kazi kaziNasikia ataaanza kucheza tarehe 9 dhidi ya espanyol. Ila kesho dragon lord ndani ya nyumba. Mwaka huu tutakuwa wa moto balaa. Bado Coutinho. Na ilipofika Liver hawawezi kuendelea naye tena.
![]()
![]()
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Coutinhi yupo tayari kujiunga Barca ila liverpool wamemshikilia huyu mtoto. Nilisomaga hii habari Goal wiki zilizopita.Humu nasubiria kuzitangaza habari za Coutinho tu basi ndani ya masaa 48 yajayo ili nikamilishe ahadi