FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hitaji la makodinda limetia about Dembele baadae nitamuongelea kutokana na clips zake ninazozifanyia kazi hapa na historia yake ;dokezo tumepata player anaye fit system
mkuu roho inanidunda kwa little magician hakika akitua siku hiyo nitalala chini shemeji yako nikimuacha kitandani peke yake....wale jamaaa tutawapiga nje ndani kwenye ligi
 
little magician ndio kabali ya madrid
 
lete bwana mdogo mwenye maajabu huyo seri wachukue liverfool
 
Coutinho special :ametuma huu hapa ujumbe chini kwa Barca Fans&Club baada yakumsajili Dembele , huku akiwaambia Liverpool wasiweke jina lake kwenye list ya wachezaji wa UEFA champions league


And inside source inasema liverpool wame respond positively ujio wa nne wa Barca they are about to finalise [emoji378] [emoji379]
 
Babu usi underestimate wachezaji unaweza kuta Paulinho is better than you monkey Balle .Nyie mbona hamumzungumzii Bale na Benzema vipusa butu vibisa vya madrid
wewe jamaa ndio umechanganyikiwa au? au umekosea ku-quote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…