FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hikki kikosi sikisomi. au flashscore wanadanganya. Roberto winger.
 
Vituko mitandaoni:Neymoney jana aliomba penalty apewe Cavani akakataa (nikasema anadhani kuna watu wana roho nzuri kama Mess?-miaka hii miwili Messi hatrick zake zilipungua sana ili kuwapa chance washikaji zake akiwemo na Neymar Jr kama unabisha nenda Madrid utamtambua penaldo)

Kituko kingine baada ya juzi account ya Barcelona ku hackiwa likawekwa tangazo la Welcome Angel Dimaria
Usiku wakuamkia leo Madrid account ili be hacked wakaweka goal la king alilofunga dakika ya mwisho huku wakisema Welcome Messi [emoji23][emoji23]
 
Mwekundu ahsante kwa taarifa. Good work
 
Kocha anatakiwa awajenge kisaikolojia wachezaji seems like kwenye ku attack hawamuelewi why they are not aggressive?
 
Sasa mvua yamagoli inafunguliwa maana lazima waondoe hilo basi. Paco anaingia vidal anatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…