Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coutinho atapewa jezi namba ngap?
Sijajua bdo ila 10 inajulikana hawezi kupata wala 9,11-occupied dembele labda 7[emoji23]Coutinho atapewa jezi namba ngap?
Saba nayo si ina mtuSijajua bdo ila 10 inajulikana hawezi kupata wala 9,11-occupied dembele labda 7[emoji23]
Hope mwenye hiyo namba ataondokaSaba nayo si ina mtu
Haina heshima kabisa siku hizi tangu aondoke David VillaSaba nayo si ina mtu
Arda Turan ameshapewa free transfer Asernal wajinyakulie au FernabacheHope mwenye hiyo namba ataondoka
Arda Turan ameshapewa free transfer Asernal wajinyakulieHope mwenye hiyo namba ataondoka
Arda Turan ameshapewa free transfer Asernal wajinyakulie
Simply :a deal done hao ni perpetrators wa Liverpool wanamuhofia ,wame propose 160M euros plus variables kwahiyo management ya Barca wameenda kuo discuss then before tuesday wana concludeNa kuna habar zinasema countinho kakubal kubak liver kwa makubaliano kwamba msimu ujao lazima wamuuze kwenda barca so anawatumikia msimu huu tu huku liver wakitafuta replacement yake... kama hz habar ni za kwel so inabid tusubir mpk next summer na sna hakika kama tutatoa ofa nzur hyo summer kama hii ya sasa hv
Tatizo barca na wachezaji weusi ..ni kama paka na panya, soon tu utaskia Dembele kauzwa ufaransa.View attachment 576190
Dembele in da house....Camp Nou kuwa wa kwanza kuona picha yake original akiwa Barcelona
Abidal ,Samuel Eto ,Aleix Song,Seydou Keita,Yahya Toure etc wamekaa sana hadi ikabidi wauzwe tuTatizo barca na wachezaji weusi ..ni kama paka na panya, soon tu utaskia Dembele kauzwa ufaransa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuja mkuu worry notNitafurahi saana Coutinho akija Barca, yaani tungekuwa na Thiago Alcantara, Sergio Busquet na Coutinho pale kati. Ingekuwa ni hatari kwa timu pinzani.
Jamaa mvivu sana wa kufikiri mtu aliyenunuliwa 100 Euro + auzwe kirahisi kweli?Tatizo barca na wachezaji weusi ..ni kama paka na panya, soon tu utaskia Dembele kauzwa ufaransa.
Sent using Jamii Forums mobile app