NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Hakuna mchezaji huwa Naumia kumuona nje ya Barca kama Thiago Alcantara, namkubali sana dogo since day one!Nitafurahi saana Coutinho akija Barca, yaani tungekuwa na Thiago Alcantara, Sergio Busquet na Coutinho pale kati. Ingekuwa ni hatari kwa timu pinzani.
Ajabu aliuzwa kumwachia nafasi Neymoney!
Sent using Jamii Forums mobile app