FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nimesikia LP wameipa barca mpaka jumatatu ya kesho wawe wamekubaliana suala la Coutinho. Kwahiyo kesho tutajua mbivu na mbichi.
 
Na kuna habar zinasema countinho kakubal kubak liver kwa makubaliano kwamba msimu ujao lazima wamuuze kwenda barca so anawatumikia msimu huu tu huku liver wakitafuta replacement yake... kama hz habar ni za kwel so inabid tusubir mpk next summer na sna hakika kama tutatoa ofa nzur hyo summer kama hii ya sasa hv
 
Simply :a deal done hao ni perpetrators wa Liverpool wanamuhofia ,wame propose 160M euros plus variables kwahiyo management ya Barca wameenda kuo discuss then before tuesday wana conclude
 
Nitafurahi saana Coutinho akija Barca, yaani tungekuwa na Thiago Alcantara, Sergio Busquet na Coutinho pale kati. Ingekuwa ni hatari kwa timu pinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…