FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nitafurahi saana Coutinho akija Barca, yaani tungekuwa na Thiago Alcantara, Sergio Busquet na Coutinho pale kati. Ingekuwa ni hatari kwa timu pinzani.
Hakuna mchezaji huwa Naumia kumuona nje ya Barca kama Thiago Alcantara, namkubali sana dogo since day one!

Ajabu aliuzwa kumwachia nafasi Neymoney!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaki William aje kucheza wapi wakati Barca imewasajili Deloufeo na Dembele
 
Update ya Coutinho kabla sijalala:Agent wake atatua jijini Barcelona kesho kuonana na Bartmeau

Kingine:Arda na Douglas licha ya kuruhusiwa kuuzwa kwa free transfer wamegoma kuondoka Barca hadi wapate team ambayo italipa mshahara sawa na wanaoupata Barca
 

mkuu nakusalimia!!!nimemisi sana swaga zako za kumeza zana za kilimo kama mundu shoka jembe na kadhalika!!!
 
Kuonana nae ili iweje?
 
Final stage hizo babu we hushangai waligoma weekend hii wamekua walaini kama mkate kwa chai na tukageuza kibao wao mdo wanatufuata (usicheze na fedha)
Sasa mkuu walikuwa wamekataa si ni liver na sio meneja wake au sio ivyo?
 
mkuu nakusalimia!!!nimemisi sana swaga zako za kumeza zana za kilimo kama mundu shoka jembe na kadhalika!!!
Ha ha kipindi kile nilikua sijakuja huku kwenye thread rasmi ,nakumbuka match ya Bayern Munich 2013 na AC Milan wale kama sikosei tulipita kwa goli la ugenini tena kwakumuingiza Messi wakati anaumwa [emoji23][emoji23] (Messi is a true gift for Barca)
 
Sasa mkuu walikuwa wamekataa si ni liver na sio meneja wake au sio ivyo?
Kwenye negotiations ni kama game yakuvuta kamba na selling process (wale waliosoma marketing ) kuna vitu inaonyesha havijakaa sawa inawezekana Liverpool wamehitaji amount ambayo ni ya juu tofauti na bid yetu ,so kutokana na umuhimu wa deal lenyewe inabidi Don mkuu ahusike (what i mean wame to win hawa jamaa kwa kuwa wanajua tunashida naye sana)
So wanatuuzoa ile bei yakutukomoa ndio maana sources nyingi wanasema inawezekana Barca wakavunja record ya Dembele wenyewe
 
Hakuna mchezaji huwa Naumia kumuona nje ya Barca kama Thiago Alcantara, namkubali sana dogo since day one!

Ajabu aliuzwa kumwachia nafasi Neymoney!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo yule dogo alikuwa na mahaba na pep, binafsi bado ntafurahi nikimuona akirudi. Pia usajili Fabregas na kuondoka kwake sikuelewa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…