shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Najuaaa alikuwa ligi ya england ndio ,,na nilikuwa najuaa kakuliaa barcelonaa ndio maana nmeulizaaKwan uliachaga kuangalia mpira toka yupo academy?
Maana aliuzwa Everton na baadae Ac Milan
Ndyo amekulia hapo lakn aliuzwaNajuaaa alikuwa ligi ya england ndio ,,na nilikuwa najuaa kakuliaa barcelonaa ndio maana nmeulizaa
shushushu VIP
mmmh mlamaviNdevu zake yeye na wewe na mavuzi yenu wote gharama yake shilingi ngapi?
Ilikuwa PSG (away 2-2, Camp Nou 1-1)Ha ha kipindi kile nilikua sijakuja huku kwenye thread rasmi ,nakumbuka match ya Bayern Munich 2013 na AC Milan wale kama sikosei tulipita kwa goli la ugenini tena kwakumuingiza Messi wakati anaumwa [emoji23][emoji23] (Messi is a true gift for Barca)
Sio mbaya, hata hiyo tofauti ya point mbili inatosha kuanzia. Ila ka Asensio kasumbufuHuyu zaza inakuwaje anashindwa kufungia goli la tatu na ushindi Valencia, tena goli la wazi
kasumbufu kishenzi. tulikakosa kwa kubania 4m!!!. i wish Dennis angekuwa hivi maana wote waling'ara timu ya vijana.Sio mbaya, hata hiyo tofauti ya point mbili inatosha kuanzia. Ila ka Asensio kasumbufu
- KANA -
Hata Denis ni mzuri, sema hajapata muda wa kutoshakasumbufu kishenzi. tulikakosa kwa kubania 4m!!!. i wish Dennis angekuwa hivi maana wote waling'ara timu ya vijana.
Kuhusu asensio, ninampa muda ili niweze kujiridhisha na kiwango chake, kwa sababu nikifuatilia magoli yake, ni kweli mazuri na anajituma uwanjani lakini yanatokana na uzembe mkubwa sana beki, mfano goal la free kick, defender ameruka huku amejipindaSio mbaya, hata hiyo tofauti ya point mbili inatosha kuanzia. Ila ka Asensio kasumbufu
- KANA -
Huyu dogo aachwe kulekule kama RW. Anafanyaga kazi nzuri sana akipiga hiyo engo.Hata Denis ni mzuri, sema hajapata muda wa kutosha
- KANA -
Na mimi nawaza kama anaweza kudribble na kufunga. Magoli niliyoona. Anasoma position ya kipa kwa mbali na kuachia shoot? Ila kanajiamini, ile freekick ni kama kalijitokeza kupiga. Kanajua nini kanafanya.Kuhusu asensio, ninampa muda ili niweze kujiridhisha na kiwango chake, kwa sababu nikifuatilia magoli yake, ni kweli mazuri na anajituma uwanjani lakini yanatokana na uzembe mkubwa sana beki, mfano goal la free kick, defender ameruka huku amejipinda
Exactly mkuuIlikuwa PSG (away 2-2, Camp Nou 1-1)
Hata sisi Denis hapewi tu mda ila ni mzury sana mkuuSio mbaya, hata hiyo tofauti ya point mbili inatosha kuanzia. Ila ka Asensio kasumbufu
- KANA -
Kumbuka dogo alikuwa anavaa jez no. 11Duh..hapo umechanganya mada alcatara ni kiungo iweje amuachie nafasi neymar ambaye ni winger?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jezi sio tatzo hao walikuwa wanacheza position tofauti kwani Xavi kuvaa 6 alikuwa anacheza namba 6