Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Huko catalunya wanasemaje kuhusu Coutinho kuja Barca?Hivi kwanini my sixth sense inaniambia huyu Coutino ni overated????
Naona france wanamnyanyasa uholanzi hapa. Nataka nimeone Dembele nafikiri ataingia second half. Jamaa wana bonge la timu.
Usimsikilize mwekundu mkuu, habari zake fake. Hamna usajili tuliofanya ad sasa zaidi ya tumempeleka kwa mkopo Douglas kwenda benfica