Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 458
- 192
Liverpool wako tayari kumuuza coutinho 2018 for now it's too late barc wameweka 150MBarcelona is still optimistic kumsajili Cotinho na leo saa sita usiku ndio mwisho wa stories zenyewe lets us hope for the final deal
Kuhusu Mahrez inasemekana alienda Barcelona, then akaenda kutua London haieleweki ataelekea wapi
Bartmeau anazingua sana kwakua tumesubiria sana ngoja tumalizie mkie tujue tunajipanga vipi ila management haiendani na speed ya mpira hata wachezaji wengine wakihama tusiwalaumuLiverpool wako tayari kumuuza coutinho 2018 for now it's too late barc wameweka 150M
Qaluu lamnakuminal musswalliin
Ligi ya Hispania imebakia kwa Madrid pekee....barca wameniangusha.Bartmeau anazingua sana kwakua tumesubiria sana ngoja tumalizie mkie tujue tunajipanga vipi ila management haiendani na speed ya mpira hata wachezaji wengine wakihama tusiwalaumu
Kibongo bongo wa kulaumiwa ni wew sababu unakuja na fake newsBartmeau anazingua sana kwakua tumesubiria sana ngoja tumalizie mkie tujue tunajipanga vipi ila management haiendani na speed ya mpira hata wachezaji wengine wakihama tusiwalaumu
Sina hata cha kuongea barca wanatuangusha sanaUjinga huu sijui barca utaisha lini?. Thomas Lemar yuko poa tu kwa sababu Coutihno inaonekana hatutampata alafu atasababisha tukose hata kusajili wengine kwani muda utatuishia.
Tulikuwa tumeshaelekea kupata wachezaji wazuri tu hako nyuma kama vile Jean Michael Seri na Martinez, kwakua uongozi hauna msimamo eti baadae ukagaili.
Sasa dirisha linaenda kufungwa usiku wa Leo alafu eti bado Coutihno ni kipaumbele namba1!!!. Kama uongozi ulitakiwa ujiwekee kikomo (deadline) cha kutaka kumsajili kabla ya dirisha kufungwa then baada ya hapo tungehamishia nguvu za kusajili wachezaji wengine sehemu zingine.
Tutabaki na timu legelege na kuungaunga kama msimu uliopita hasa kwa kukosa mbadala wa Xavi na Iniesta. Bad enough tumekuwa na bench (sub) bovu/lisiloaminika kiasi ambacho hatukuwa hivo huko nyuma. Tumebahatika kupata mbadala wa Dani Alves (Semedo) na Neymar (Dembele) hata kama hawataonesha uwezo mkubwa kwa sasa lakini watakuwa vizuri zaidi kadiri muda unavoenda.
"Life+time"....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio fake hizi ndizo habari ambazo zinanguruma duniani hadi cataloniaKibongo bongo wa kulaumiwa ni wew sababu unakuja na fake news
Kibongo bongo wa kulaumiwa ni wew sababu unakuja na fake news
Ulituaminisha mno tatzoSio fake hizi ndizo habari ambazo zinanguruma duniani hadi catalonia
Action wanapaswa kuchukua wao sisi kama fans hatuna hiyo control .siku anatangazwa dembele alikuambia kuna big signings inakuja so ina maana alitudanganya fans wake?
Ni udwanzi mtupu asee! Kabla ya Neymar kuuzwa kisingizio ilikuwa ni ukata, wakati huohuo tulikuwa na rundo la wachezaji waliokuwa wamerudi kutoka maeneo mbalimbali ambako walikuwa wakicheza kwa mkopo kama vile Velamin, Munir, etc etc etc. Sasa baada ya Ney kusepa ukata uliisha na wachezaji kibindoni kibao tu ambao walikuwa sokoni kama vile Rafihna, Arda Turan, Endrew Gomez, etc etc.Sina hata cha kuongea barca wanatuangusha sana
Basi inabidi tuende nao sambamba ila haiwezekani leakage zote zile tumsajili player mmoja tu we wil b dumpest team everUlituaminisha mno tatzo
Tusifike huko mkuuKibongo bongo wa kulaumiwa ni wew sababu unakuja na fake news
Barca wameni dissapoint sana leoBasi inabidi tuende nao sambamba ila haiwezekani leakage zote zile tumsajili player mmoja tu we wil b dumpest team ever
Dah..poah mkuu yameisha hayoTusifike huko mkuu
Siyo huyo tu na kuna Thiago Alcantara (little Xavi) yuko powa sana pia.Kuna mchezaji anaitwa Muniain kwa nini asirudishwe huyo dogo naona ni mzuri mno akiaminiwa.