Nimesikia mimi habari zao sitaki tena ku report ni waongo sanaNasikia Leo kuna press conference ya viongozi wa barca na baadhi yao wanadhamilia kutangaza nia ya kuachia ngazi wakiongozwa na segura sporting director yaani huu utakua upuuzi wa mismanagement ya barca kuwa na sporting directors watatu ndani ya kipindi cha miezi 32.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] so??Hii Avatar iko tofauti sana na sura yangu[emoji23]
Barca jeuri sana wamemtia uchizi dogo wakafanya nae negotiations kila kitu personally na team yake then wakambwaga pwaaaa siku moja kabla ya transfer ya Dembele (walim rule out) akauliza sababu wakamuambia technical reasons [emoji23][emoji23]Asee! Jean Michael Seri ni bonge la Mchezaji. Nilikuwa nacheki highlights zake. Yuko powa yaani. Ilikuwa tupate Mchezaji wa kaliba ya Xavi bila chenga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu hapo timu yake ndo ilizingua maana ilitaka dau kubwa baada ya kuona mkwanja barca wanao na barca wakaamua kupiga chini.Barca jeuri sana wamemtia uchizi dogo wakafanya nae negotiations kila kitu personally na team yake then wakambwaga pwaaaa siku moja kabla ya transfer ya Dembele (walim rule out) akauliza sababu wakamuambia technical reasons [emoji23][emoji23]
Jamaa players wenzake walishaanza kumuaga na akawaaga hadi team ilimuandalia mazingira ya kuondoka
Laana hii tutaipata tu
Pambana n upumbavu wakoSasa na wewe nae Ni mpuuzi yaani hata huwezi kuona kuwa tinho hakuwai kuwaza kama barca wangemuitaji sasa ulitaka alipoletewa mkataba angeukataa bila uhakika wa timu yoyote inayommendea na kama alikubali si anaweza kuuvunja kwa pesa na interest sasa sijui unahoji nini..?
[HASHTAG]#stay[/HASHTAG] away madridiot#
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi Barca walichangia ingawa management yake walichangia kuongeza dauHapana mkuu hapo timu yake ndo ilizingua maana ilitaka dau kubwa baada ya kuona mkwanja barca wanao na barca wakaamua kupiga chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wanasema PSG waliingilia kati na kubid 50m ndipo Barca wakaamua kujitoa.Hapana mkuu hapo timu yake ndo ilizingua maana ilitaka dau kubwa baada ya kuona mkwanja barca wanao na barca wakaamua kupiga chini.
Sent using Jamii Forums mobile app